Naomba kuuliza mkuu katika suala la kutapeliwa. Ukiwa umeamua kuagiza gar kampuni ya beforwad kupitia simu yako utajuaje kua site unayotumia ndio sahihi kwa sababu zipo site nyingi za beforwad pia kuna wezi wa mitandao wapo kwaajil ya kufanya utapel.