Ipi kampuni nzuri ya kuagiza gari kutoka nje kati ya SBT na Befoward?

Kununua online beforward au kutumia ofisi zao za hapa bongo kuna tofauti ya bei kwenye huduma ?
 
Sbt ila uwe na agent wako mwenyewe wa kukutolea maana kama hujui taratibu za clear and forwading agent wana agents wao watakupiga bei balaa
 
Naomba kuuliza mkuu katika suala la kutapeliwa. Ukiwa umeamua kuagiza gar kampuni ya beforwad kupitia simu yako utajuaje kua site unayotumia ndio sahihi kwa sababu zipo site nyingi za beforwad pia kuna wezi wa mitandao wapo kwaajil ya kufanya utapel.
 
Kuna mtu aliniambia una print invoice harafu unawauliza be forward tanzania watakuambia kama ndio wenyewe unalipia
 
Back
Top Bottom