Ipi inachoma ku moyo????

Ipi inachoma ku moyo????

Inategemea na huyu rafiki ni wa aina gani, maana kuna rafiki au jamaa ambao unawajua ni viwembe sana so hata kufumaniwa unategemea itatokea muda si mrefu.

Ikatokea kwa mtu ninayemfahamu na kumuamini na sikuwahi kumtegemea hivyo itaniuma sana kwa kweli maana kuumbuka kwake ni kuumbuka kwangu. Ila akiwa kiwembe inamaana hata jamii yenyewe haitashtuka ila utasikia tu ''za mwizi arobaini''
well said mkuu
 
Aisee nahisi zote zinaumiza. Yaani najaribu kupata picha lkn haikuji kabisa eti twin Fixed Point wewe ipi itakuchoma au snowhite vipi mtazamo wako ktk hili mmmh .

Nisamehe kama nitakuwa naingilia private issues ila ile picha yako ya kwanza ni nzuri kkuliko hii.
Ni mtazamo wangu tu msinishambulie !
 
Kati ya hivi ipi itakuumiza zaidi ugugundua?

1. Kumfumania mke/mme na rafiki yako kipenzi ambaye umeshibana kweli kweli AU

2. Kumfumania na mtu usiye mjua kabisa!!!


kusalitiwa kusalitiwa tu , na zote zinauma sema hiyo ya mtu wa karibu utakuwa unajihisi kusalitiwa na watu wawili.
 
Nisamehe kama nitakuwa naingilia private issues ila ile picha yako ya kwanza ni nzuri kkuliko hii.
Ni mtazamo wangu tu msinishambulie !
Hahahahahahaha asante mkuu. Si unajua nimewaka ya rangi sasa hivi na ile bado ipo sikutaka watu wanikremu
 
Hahahahahahaha asante mkuu. Si unajua nimewaka ya rangi sasa hivi na ile bado ipo sikutaka watu wanikremu

Ile inaonekana mwanamke makini, respectable,mpole...... in short it was beautiful.
 
Ile inaonekana mwanamke makini, respectable,mpole...... in short it was beautiful.
Usijali nitairudisha mkuu. Unajua huyu dada mwenye hii picha huwa nampenda sana na hasa nilipoangalia speech yake aliyokua anazungumzia ubaya wa one side story.
 
Kati ya hivi ipi itakuumiza zaidi ugugundua?

1. Kumfumania mke/mme na rafiki yako kipenzi ambaye umeshibana kweli kweli AU

2. Kumfumania na mtu usiye mjua kabisa!!!

Wewe kama ikikutokea ipi unaona itakuwa nafuu kwako?
 
Back
Top Bottom