Ipi inachoma ku moyo????

Ipi inachoma ku moyo????

cataliya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
458
Reaction score
361
Kati ya hivi ipi itakuumiza zaidi ugugundua?

1. Kumfumania mke/mme na rafiki yako kipenzi ambaye umeshibana kweli kweli AU

2. Kumfumania na mtu usiye mjua kabisa!!!
 
Kati ya hivi ipi itakuumiza zaidi ugugundua?

1. Kumfumania mke/mme na rafiki yako kipenzi ambaye umeshibana kweli kweli AU

2. Kumfumania na mtu usiye mjua kabisa!!!

Kufumania ni kufumania tu ... Ila sijajua mtoa mada ulikuwa una lengo gani kuuliza hili swali!
 
Inategemea na huyu rafiki ni wa aina gani, maana kuna rafiki au jamaa ambao unawajua ni viwembe sana so hata kufumaniwa unategemea itatokea muda si mrefu.

Ikatokea kwa mtu ninayemfahamu na kumuamini na sikuwahi kumtegemea hivyo itaniuma sana kwa kweli maana kuumbuka kwake ni kuumbuka kwangu. Ila akiwa kiwembe inamaana hata jamii yenyewe haitashtuka ila utasikia tu ''za mwizi arobaini''

Kati ya hivi ipi itakuumiza zaidi ugugundua?

1. Kumfumania mke/mme na rafiki yako kipenzi ambaye umeshibana kweli kweli AU

2. Kumfumania na mtu usiye mjua kabisa!!!
 
Inategemea na kabila lako,
Huku Wanyambwa, hakuna shida ukigegeda na mimi natafuta yeyote nagegeda hata akiwa bint yako au mkeo
Kuna makabila mengine huko Kaskazini Mwanamume akikufuma anakuua
kuna wengine huko Kaskazini Milimani anakuacha kabisa labda km ni baba yake mzazi kagegeda
Huko milimani Upareni mpaka Usambaa anamezea na anakusifu mpaka umalize anakukodolea karufundi
Kati /Kusini anajitundika na kamba
sasa fafanua ni kabila gani
Maana mm nikikufuma nakodisha camera man na Kikosi cha popobawa ukinitoroka ni tindikali lita moja haifiki 3,500/ (maji ya betri)
 
kati ya hivi ipi itakuumiza zaidi ugugundua?

1. Kumfumania mke/mme na rafiki yako kipenzi ambaye umeshibana kweli kweli au

2. Kumfumania na mtu usiye mjua kabisa!!!

sijawahi,hivyo sijui mauivu yake.
 
Mhhhh! Kwa hiyo utamu bora ale rafiki maumivu ya moyo yanakuwa si makali sana!!! Haya banaaa!!!




Bora ale rafiki aiseee...

Mali ikila mali si mbaya sana...
 
Last edited by a moderator:
Aisee nahisi zote zinaumiza. Yaani najaribu kupata picha lkn haikuji kabisa eti twin Fixed Point wewe ipi itakuchoma au snowhite vipi mtazamo wako ktk hili mmmh .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom