Ipi Flat TV bora: Kati ya Samsung LED na Samsung Plasma?

Ipi Flat TV bora: Kati ya Samsung LED na Samsung Plasma?

mjasiliamali14

Senior Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
147
Reaction score
21
Wakuu naomba msaada,

Nahitaji kununua Flat TV 42inch. Sasa nimekuta kuna Samsung LED na Samsung Plasma. Sijui nichukue ipi, Maana sijajua tofauti zake ni zipi.

Please nisaidieni..
 
czijui vzur lkn according to physics plasma hutumika zaidi kene vioo vya sasa touch screen...hivo nahisi plasma ni bomba zaidi
 
czijui vzur lkn according to physics plasma hutumika zaidi kene vioo vya sasa touch screen...hivo nahisi plasma ni bomba zaidi

mhhhhh technologia ya plasma tvs imekufa!!!hakuna hata kampuni moja inatengeneza hiyo kitu tena kwa maelezo zaidi google!!!!
 
Plasma ilitoka ndio ikaja led.. Led ni toleo jipya kijana .
 
Plasma tatizo lake inatoa joto zaidi halafu inaakisi mwanga, ukiwa sehemu yenye mwanga na una attention to detail unakaa kuangalia TV unakuwa kama unaangalia kioo fulani hivi.
 
Plasma ina date of death a.k.a expiring date, kwamba ile gesi inakuwa imeisha, baada ya hapo linakuwa ni kopo unatupa, waweza nunua ikawa imebakiza miaka mitatu, mitano au hata 10. after that unashangaa limezima ziiiiiiiiiiii
 
Kwahyo mkuu hata ikiwa dukani off bado gesi inatumika?
 
Plasma ina date of death a.k.a expiring date, kwamba ile gesi inakuwa imeisha, baada ya hapo linakuwa ni kopo unatupa, waweza nunua ikawa imebakiza miaka mitatu, mitano au hata 10. after that unashangaa limezima ziiiiiiiiiiii

100% true,nina experience na hiyo,TV yangu 42" Plasma ilizima ghafla ndio kuja kufatilia online nikaona kwamba kweli ina life-span no. of hours kuwaka,ni kama Taa hizi za Tube Light ile gesi ikiisha inazima na kufa kabisa.Namshauri Achukue Either LED au LCD ila Plasma achana nazo ingawa kwa ubora wa picha PLASMA ipo poa sana.
 
Umeleta kitu kingine.. Kumbe kuna PLASMA LCD NA LED?
 
Umeleta kitu kingine.. Kumbe kuna PLASMA LCD NA LED?

Technology zipo nne.
1. CRT inatumika sana kwenye TV za Chogo
2.LED(Latest)
3.LCD(Ipo inatumika)
4.PLASMA(Old Technology)
 
Nunua LED, ni nyepesi, joto kidogo matumizi ya umeme kidogo.compared to plasma
 
Plasma ni tech ya zamani ambayo ina consumption kubwa ya umeme na picha yake hupoteza muonekano ukiwa kwenye angle flani,but its cheap. LCD advance tech ya plasma with better consumption & no angle pictute distortion ila the weight of the tv is moreless the same. LED advance tech of LCD better than the previous sets with backlight kufanya picha kuwa angavu. Pia zinaweight ndogo almost half of LCD.
>>PLASMA, LCD, LED, 3D, 4K. <<
 
Naomba tofauti ya Plasma na LCD.

Jamaa Juu kashajibu ila kuongezea tu Plasma zina mda wa kuisha(Life span ya Light Cells) ila LCD mwendo mdundo miaka 100 haina life-span ni utunzaji wako tu,ila Plasma nyingi zina life-span ya 110,000 hours(16.5 yrs).
 
Back
Top Bottom