Ipi flat screen bora kati ya matoleo haya?

Ipi flat screen bora kati ya matoleo haya?

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,421
Habarini, naomba kujuzwa katika hizi flat screen za wananchi wa kipato cha kawaida, ni ipi bora kuliko zingine?

-Star-X tv
-Aborder tv
-Sundar tv

Hapa siongelei zile za kibosile kama Sony, LG na Samsung.
 
Electronics zimeshuka bei sana mkuu usipate stress, jichange chukua LG au Samsung inch 32 kati ya 480k hadi 550k.
Fanya ivo utakuja kunishukuru baadae.
Kama pesa haitoshi unaweza kwenda dukani ukalipia pesa kiasi unapewa risiti fulani kisha unaendelea kujikusanya.
 
Wazo zuri mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom