Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,516
- 5,418
Kama kwa bei zipi. Nahisi unaweza kuta zipo juu hata kwa zaidi ya 100k au 150k ukilinganisha na bei za huko dar. Nipe chimbbo na bei zao zikoje nikazame mwisho wa mwezi huu. Au niagize kitoka darHicence, Boss, Lg mwanza zinapatikana kikubwa mfuko wako tu mkuu.