Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,148
- 88,816
Boss, asante kwa kuni-quote. Na mimi nilikua na LG 32" nikajiona nimetoooka nayo imekufa juzi juzi.Mimi nilinunua LG tena kwa bei kubwa. Ilikufa baada ya mwaka mmoja. Yaani waranty iliisha wiki hii yenyewe ikafa next Week. Iliniuma sana maana niliweka pesa nyingi pale.
Nikajiapia next time sitanunua TV ya bei ghali. Nitanunua ya bei ya kawaida ili hata ikifa nisipate hasara.
Baada ya hapo nikanunua Aborder. Nashukuru mpaka leo haijasumbua. Hata ikiharibika asubuhi tu jioni nanunua nyingine coz it is cheap.
Tena ilikua 720p HD, sahivi nataka ninunue Hisanse 1080 FHD au 4K kabisa maana naona ni cheap.