Naki 12
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 1,263
- 1,307
Sorry nje ya mada. Tv yangu nikiangalia kupitia king'amuzi picha haiwi screen nzima inakuwa imejikata, space inabaki juu na chini lakini nikisema niangalie labda series au movie kutoka kwenye flash inaonekana vizuri screen nzima. Kwa mwenye kujua tatizo litakuwa nini.