Ipi faida yangu, mbona siioni?

Ipi faida yangu, mbona siioni?

Ipi faida yangu, ungepaswa ujibu swali? hayo ya ushoga achana nayo
Faida yako unaijua wewe, lakini kama wewe huijui maana yake hujitambui, ndio nikakwambia usipotuliza akili ukajitambua unaweza kuolewa.

Maana wale watakwambia hiyo ndiyo thamani yako na utakubali kuolewa.

Endelea kutuuliza thamani yako sisi wapo watakao kuita PM, bora sisi tunaokukanya hadharani.
 
Karibu kwa maoni yako, ndipo akili yako ilipoishia na mimi nitaiongezea hapo ilipokomea.

Fasihi ipo hivyo Mkuu, umeielewa kwa akili yako, upo sawa kabisa.
 
Hahaha kijana unaakili timamu utashindwaji kujielewana kuelewa thamani yako?!

Mtu wa hivyo maana yake anafanyiwa maamuzi na wenzake, sasa hapo ndio nikasema asipotuliza akili na kujitambua anaweza kugeuzwa mchicha.

Ndio tunaiita fasihi, wewe kama unajielewa usingeshindwa kuelewa andiko hilo. Sasa bado utaandika tena ili watu wakushangae, kazi kwako.
 
Faida yako unavuta oxygen na kutoa carbondioxide ambayo inausaidia mmea katika swala zima la kujitengenezea chakula chake (photosynthesis) [6CO2 + 6H2O= C6H12O6 + 6O2].
 
Hata wajinga wanayo haki Mkuu, kuna mmoja hapo kadandia gari naona linamburuta. Yeye akiona kila maandishi anadhani anayaelewa
Hapo PCM imekutana na HKL lazima ikae na wanachoshindwa kuelewa sio lazima kutoa maoni kupita kimya pia ni mchango mkubwa
 
Back
Top Bottom