Ipi degree bora ya kuvua nguo/kutoa pesa


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,067
Likes
7,891
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,067 7,891 280
Hili pengine linaweza kusaidia kupunguza ongezeko la ukimwi nchini ebu tusaidiane jamani lipi bora kati ya hayo at keast madada zetu wawezekumaliza vyuoni bila kuogopa kwenda kupima ngoma
ipi degree bora kutoa hela ama kuvua nguo uapte degree
 
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,378
Likes
451
Points
180
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,378 451 180
Kheri kutoa hela as nimeshudia mhadhiri anataka uchi tena kavu alafu ana ngoma otherwise anakuferisha yaani kuna watu ni wanyama
 
WomanOfSubstance

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Messages
5,465
Likes
79
Points
0
WomanOfSubstance

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
Joined May 30, 2008
5,465 79 0
Upuuzi mtupu!
KWANINI MTU UENDE CHUO KAMA AKILI YAKO MGOGORO?
 
nguvumali

nguvumali

JF Bronze Member
Joined
Sep 3, 2009
Messages
4,891
Likes
184
Points
160
nguvumali

nguvumali

JF Bronze Member
Joined Sep 3, 2009
4,891 184 160
Hili pengine linaweza kusaidia kupunguza ongezeko la ukimwi nchini ebu tusaidiane jamani lipi bora kati ya hayo at keast madada zetu wawezekumaliza vyuoni bila kuogopa kwenda kupima ngoma
ipi degree bora kutoa hela ama kuvua nguo uapte degree

zote si bora , ilio nakiwango kizuri ni ile SHAHADA ya A.l. Mrema aliyoipaya kwa miezi mitatu Kutka chuo kikuu fulani Marekani. maana inaokoa sana muda na ghalama yake si kubwa sana. maana humuhitaji Baregu wala Mvungi kukushushia nondo , hii inakua presented na kijana awa kidato cha sita kule Uingereza ambae babaake anahost website....nini unataka tena.
 

Forum statistics

Threads 1,215,045
Members 463,005
Posts 28,533,390