Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Muonekano ndio unasababisha kuanza kufatilia mengineYes! Cha kwanza kabisa ni mwonekano aisee
Muonekano ndio unasababisha kuanza kufatilia mengineYes! Cha kwanza kabisa ni mwonekano aisee
Iyo ndo definition yako ya uzuri?Nampenda Mwanamke mwenye Timbwili (harakati) kama za Asha Ngedere....!!
Kila ninapo karibia kwake, napata taarifa kuwa tayari amekwisha kinukishah...!
Kwake kujua taarifa/mienendo yangu ki-maisha sio issue kwake..!
Bora na la Msingi kwake ni kuhakikisha Daily viroja na vitimbwi havipungui kati yake na Raia wema...!!
Everyday anabaki kuwa ni Headline na talks katika midomo ya watu...!
Kabisa.....!!Iyo ndo definition yako ya uzuri?
Basi saafi kabisa...Kabisa.....!!
Ama ulitaka definition yako..?
Kwangu mzuri ni wa/mwenye tabia hiyo..!
Vizuri unawatambua...!!Basi saafi kabisa...
Hao wapo uswazi kwa wingi
HahaMwanamke tabia bhana uzur hata mbuzi anao