kwani ni lazima kuonja? Wakati unajua kabisa siku za baadae utatupiwa virago? Mi naona ni bora ukae kando tuu, mambo ya mapenzi sio kuumizana bwana! Ni maridhiano ya moyo!
Hili swali huwa najiuliza kila siku....
Kama unapata mtu anakuvutia sana lakini
kuna risk kubwa ya kuvunjwa moyo....
Mfano labda huyo mtu yupo kwenye ndoa ,au labda
hajavutiwa na wewe kiwango sawa,au sababu yeyote itakayosababisha
mapenzi yasidumu......je ni bora kuanza mapenzi na huyo mtu...ili uonje ujue
utamu wake bila kujali maumivu yake mtakapoachana????????
Au
ni bora kukaa mbali kabisa toka mwanzo usijue ulichokikosa?????????????
hivi unapovutiwa na mwanamke na kumtongoza.... Unakuwa na malengo gani??? Hao wa kwenye ndoa wanaotongozwa/kutongoza na wakakubaliana il hali mmoja au wote wako kwenye ndoa... Wanakuwa na malengo gani??
Hivi unapovutiwa na mwanamke na kumtongoza.... unakuwa na Malengo gani??? Hao wa kwenye ndoa wanaotongozwa/kutongoza na wakakubaliana il hali mmoja au wote wako kwenye ndoa... wanakuwa na malengo gani??
Hivi unapovutiwa na mwanamke na kumtongoza.... unakuwa na Malengo gani??? Hao wa kwenye ndoa wanaotongozwa/kutongoza na wakakubaliana il hali mmoja au wote wako kwenye ndoa... wanakuwa na malengo gani??
Hili swali huwa najiuliza kila siku....
Kama unapata mtu anakuvutia sana lakini
kuna risk kubwa ya kuvunjwa moyo....
Mfano labda huyo mtu yupo kwenye ndoa ,au labda
hajavutiwa na wewe kiwango sawa,au sababu yeyote itakayosababisha
mapenzi yasidumu......je ni bora kuanza mapenzi na huyo mtu...ili uonje ujue
utamu wake bila kujali maumivu yake mtakapoachana????????
Au
ni bora kukaa mbali kabisa toka mwanzo usijue ulichokikosa?????????????
mimi nilidhani unazungumzia kuonja vyenye vikwazo vya kuonjwa kama vile binamu nyama ya hamu, mke wa bosi wako, binti wa bosi wako na kadhalika....kumbe unazungumzia kuonja vitu vya kamawaida kabisa, hakuna hata risk hapo...!!!
labda kwa kuwa wewe ni askofu unaweza usielewe..
Kwa wengine mapenzi ni upofu....bila kujali ni mke wa mtu au mume wa mtu....
Askofu unauliza jibu? Lengo ni ngono zembe..just for fun!!!
inawezekana kweli sikuelewi... Kwa sababu mtu ni mke/mume wa mtu, ukampenda... Kwa nini usijizuie ukaachana naye moja kwa moja?? Kwa sababu tayari ana mtu wake na hakuna jinsi mtakuja kuwa pamoja.... Hata kama mkiwa pamoja, lengo litakuwa kubanjuana tu and nothing else..
nahisi hatuelewani kweli..
Inawezekana mke wa mtu lakini mkapendana kweli
mpaka akamuacha mumewe na kuwa mkeo...
Usisahau sio kila mke wa mtu ana furaha na ndoa yake..
Wengine huwa wameshashindwa na ndoa zao,hawajapata mtu wa kumbadilisha
wanasema all is fair in love and war..........
Ni kweli kabisa The Boss huwa kuna imani hiyo ya pengine nitambadilisha awe wangu milele- Unfortunately kwa wanawake walio wengi hii ni kubwa zaidi. Afadhali wanaume ambao wao wanawezakuwa na imani hii iwapo tu mwanamke anayefikiriwa hajaolewa. So kama anaye boyfriend wanaume alio wengi huwezaamua kumtokea ili ajaribu bahati yake ya kupindua mashua kuelekea upande wake. Ni vigumu kukuta mwanaume anayemtamani mke wa mtu akafanya hivyo kwa nia ya kumpindua mwenye mashua bali anafanya hivyo ili tu ashee na mwenye mashua kama free rider kasia ashike mwenye mashua yeye ah ajivinjari na mashua -ndio maana ya msemo wa wanawake walioolewa hawana gharama. Ni ngumu sana kwa mwanaume anayetoka na mke wa mtu kuja kumwoa na kumweka ndani kama ataachika kwa mumewe- wengi huwa wanajiuliza kama nilifanikiwa kumrubuni akaondoka kwa mumewe nina uhakika gani kama kwangu hatarubuniwa pia na mtu mwingine?inategemea na jinsia yako...
Kwa sisi wanaume huwa tuna kuwa na imani kuwa
nitaweza kubadilisha msimamo ili uwe wangu wa milele.
Tabu inakuja ukishindwa kumbadili mtu msimamo.akaamua
tu yaishe....maumivu yake...........