Iphone yangu imezima ghafla

Iphone yangu imezima ghafla

Screenshot_20220411-163359.png
 
Iphone yangu imezima gafla tu ila nikiweka chaji inaonyesha inapeleka ila nikiwasha haiwaki

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kama imeisha charge kabisa na huna chaja og imaweza fanya hivyo maana hapo hakuna umeme wa kuchajia. Anza na hapa jaribu kuazima mtu mwenye charger nzuri.

Alternative jaribu kutumia itune na pc uone kama inakuwa detected na kama unaweza ingia modes mbalimbali za iphone.
 
Unaingiaje kwenye hizo mode wakati battery haina power au Mimi ndo sielewi.
 
Itune ni pc software inatumika hali ya simu ipo powered na usb, not necessarily iwake ila utagain. Mawili matatu kujua tatizo lipo wapi.
 
Kwa hiyo hali iliyopo hata kuiturn kwenye recovery mode haiwezekani kwakuwa ukishachomeka usb basi iphone inawaka haiendi kwenye hiyo mode atleast labda kungekuwa na charge kidogo za kuwashia then acconect usb kwenda pc yenye itune
 
Iphone si kama Android, haina specific recovery mode kwamba itawaka na menu, hivyo majority ya hardware yanakuwa hayafanyi kazi, ndio maana simu inaonesha battery icon japo kuna uwezekano haina Charge.

Na lengo ni kutroubleshoot kunarrow down tatizo ujue lipo wapi, ikiingia Dfu means ni likely software issue, ikikaataa likely ni haedware issue etc.
 
Peleka kwa fundi na ngoja waje kukupa muongozo...
 
Back
Top Bottom