Iphone ya mamake C. Ronaldo

Iphone ya mamake C. Ronaldo

SirAlfred006

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
552
Reaction score
1,306
Hii hapa ingeibiwa huku kwetu Africa Mashariki, haswa mechi ya Yanga.
IMG_20210912_075617.jpg
 
Hii hapa ingeibiwa huku kwetu Africa Mashariki, haswa mechi ya Yanga. View attachment 1942355
Ulipoandika tu neno "NGE" tayari nilishajua jinsi gani ubongo wako umefikia kikomo cha kupambanua wazo kwa kina.

Mfano;

1. "Ningekuwa na mabawa ningeruka angani kama ndege"

2. "Ningekuwa na chapaa za kutosha, ningekuwa na ukwasi zaidi ya Jeff Bezos"

NGE = KAMA au vitu vya kufikirika na wala si vya kuthibitika.
 
nge- hutumika kuonyeshea wakati uliopo, vilevile,
Nge - na–ngali - hutumika kuonyeshea

tegemeano wa mambo au hali mbili. –nge

Hamna haja ya kumtusi anayehitaji msaada wa elimu.

Pokea elimu kaka.
wakati-uliopo.jpg
 
Back
Top Bottom