kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,101
- 5,442
Ni kwasababu unaitumia ukiwa una mawazo iwe na mpangilio wa ki adnroid ila apple products zimefanikiwa sana kwakuwa na very friendly user interfacesNimemaanisha iphones nahisi huwa completed sana kwa kuangalia menu au interface yake..... Tofaut na nilivyozoea Android phones hvyo nimejikuta sivutiwi nazo.........