Jay10
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 724
- 560
Habar za wakat huu wadau......... Kwa Neema ya mungu mi ni+salama. Naomba kuelimishwa na kushauriwa pia juu ya hili:
Nakiri kuwa sijawahi kutumia simu yoyote ya iphone tangu nijue smartphone zaid ya miaka 10 iliyopita..... Had sasa nimetumia simu za Android system kama Sumsang, Tecno, Huawei N. K
Nimesikia baadhi ya watu wakizisifia sana simu aina ya Iphone pia Gharama zake zimekuwa ni kubwa sana....... Kwasasa nami nataman kuwa na simu hzo (iphone) lakin kwanza wadau na wajuzi wa Iphone, Naomba kujua Uzuri wa Iphones ukilinganisha na Android mana kwang huwa naona Android ni complicated sanaaa.....
Karibuni wazoefu kunitoa ujinga.......