Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,634
wakuu hbr za j2?nnakabajeti kangu mbuzi,nataka kuchukua simu but sijajua nichukue ipi kati ya hizi.
1.samsung note 5, nimeipenda xn note 9 ila sina salio.
2.samsung A7
3.sumsung J7 neo or pro
4.samsung J6plus
5.infinix note 5 stylus
6.samsung j8
7.xiomi redmi6
8.huawei honor8 or huawei mate 20 pro.
kuanzia namba 2 hadi 7 nahic bei zake hazitofautiani xna naweza kumudu.
Samsung galaxy note 5 ipo vizuri sema ya muda kidogo. Ila katika simu zote ulizo orodhesha Huawei Mate 20 Pro ni nzuri sana, nadhani ndio simu iliyoongoza kwa ubora wa camera Duniani mwaka uliopita, pia ina features za kipekee, ila bei yake juu pia.