IPHONE VS ANDROID Ipi ni simu Bora Zaidi ???

Mtoa Msaada

Member
Feb 5, 2019
57
32
Wadau habar zenu?? Naombeni kuuliza Eti kati ya IPhone na Android ipi ni nzuri kimatumizi Pia hata ki Ubora ..?

Ukiachana na Nijuavyo Iphone ni nzuri kiulinzi Je nikitu gani Kingine bora kwenye Iphone kushinda Android ?? Achilia mbali Bei zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kulinganisha android na iPhone kwa upande wa products za simu labda ungeuliza android na iOS (iphone OS) ipi ni system nzuri!!!

Nasema hivo coz android ni open source, kampuni lolote la simu linaweza kuichukua na kumodify mfano, kwa kutengeneza drivers mbalimbali ambazo zitawasiliana vizuri na kernel pamoja na hardware parts nyngne.

So android kwa samsung ni tofauti na android kwa tecno na pia ni tofauti na android kwa nexus. specify brand mkuu, labda ungeuliza iPhone na tecno ipi ni bora au iPhone vs samsung au iPhone vs nexus etc....
 
Japo utakuta android version inaweza kuwa ileile ila kama simu ni za makampuni tofauti there will be a difference btn them
 
Back
Top Bottom