IPHONE VS ANDROID Ipi ni simu Bora Zaidi ???

iphone ni simu sio OS
Android ni OS sio simu
U cant compare them
Kama Anataka simu ya Kutuma Msg na kupiga na Misifaa bhasi Chukua Iphone maana haina cha Maana zaidi ni Ujinga ujinga tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukitaka simu ya kutumia apps uwezavyo...kufanya matumizi yote unayotakaa..kucheza games.. Bhasi chukua Android.. !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ios for show off hasa kwa nchi zetu hizi.
Kabisaa... Kuna jamaa anapenda kucheza games lakini ana iphone utacheka akiwa analazimisha iphone icheze games[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Iphone inahitaji mtu asiekuwa na mambo mengi sijui Kudownload Movie..mara music... Kuna masharti na kero kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
iphone ni simu sio OS
Android ni OS sio simu
U cant compare them
Shida ni kwamba hata wewe hujaelewa alicho maanisha Mtoa post.. Mtoa post., Kasema IPhone vs Android akiwa na maana ya kwamba Android ina combine simu zote zenye mfumo wa Android (os) na iphone akiwa Kashaisema direct ndo maana hakuweka IOS kuweni waelewa . Kwani Kuna Kifaa kinatumia Ios tofauti Na vinavotoka kampuni ya Apple?? [emoji848][emoji848][emoji848]

Yaan baba Hapa usinge ongea kitu Nimekumind kinoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iphone ni Simu ndio ila Android ni Os sio simu sasa ulitaka mtoa post aseme kwamba IPHONE VS Tecno,infix,samsung?? Ndo maana katumia Neno Android akiwa na maana Simu zote zenye Os ya Android hawezi kuzitaja moja moja Ndo Maana kazi Combine kwenye category moja ambayo ni ANDROID

Sent using Ubuntu
 
Wadau habar zenu?? Naombeni kuuliza Eti kati ya IPhone na Android ipi ni nzuri kimatumizi Pia hata ki Ubora ..?

Ukiachana na Nijuavyo Iphone ni nzuri kiulinzi Je nikitu gani Kingine bora kwenye Iphone kushinda Android ?? Achilia mbali Bei zake [emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Toka nihamie team apple, madem sio kwa kunitaka.
 
Yaan baba Hapa usinge ongea kitu Nimekumind kinoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iphone ni Simu ndio ila Android ni Os sio simu sasa ulitaka mtoa post aseme kwamba IPHONE VS Tecno,infix,samsung?? Ndo maana katumia Neno Android akiwa na maana Simu zote zenye Os ya Android hawezi kuzitaja moja moja Ndo Maana kazi Combine kwenye category moja ambayo ni ANDROID

Sent using Ubuntu
Good. Pokea like kwanza
 
Kama Anataka simu ya Kutuma Msg na kupiga na Misifaa bhasi Chukua Iphone maana haina cha Maana zaidi ni Ujinga ujinga tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukitaka simu ya kutumia apps uwezavyo...kufanya matumizi yote unayotakaa..kucheza games.. Bhasi chukua Android.. !!

Sent using Jamii Forums mobile app
Magame yote niliyokua napata Samsung nayapata Iphone

Apps nilizokua natumia Samsung zote nazipata Iphone

Msiwakatishe tamaa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uwezi kufananisha mtu moja na watu10
compare iphone na samsung sio na Android ndugu
unavyozungumzia android ni sawa unazungumizia sony,LG,huawei....etc kuwa makin na maswali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kwa mtu asie na mambo mengi kidogo nimekuelewa.

Back
Top Bottom