Iphone Six plus iliyotumika kwa wiki 2 tu inauzwa

Tumaini Jipya

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
379
Reaction score
125
Kila kitu kipo box lake and all necessary accessories!
16 GB
Bei ni 1.7M mazungumzo yapo
Contact 0714843384
Napatikana Dar es salaam
 
16GB
Bei 1.7M
Box na accessories zote zipo
Black colour
Maelewano yapo
Contact 0714843384
Napatikana Dar es salaam
 
Eee bhana eeee !!!!! LoL
Endelea kutumia Mkuu....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ha ha ha swala hapa ni uwezo wa mtu husika kwa sababu hata hiyo hela unayoona wewe ni ya kiwanja kwa mwingine ni hela ya kula ya wiki moja tu!!
Rafiki yangu mmoja alimnunulia girlfriend wake SIMU hii kwa Tshs 2.1M just a week ago,kwa hiyo ni swala la kipato tu wadogo zangu!!!
 
Kila kitu kipo box lake and all necessary accessories!
16 GB
Bei ni 1.7M mazungumzo yapo
Contact 0714843384
Napatikana Dar es salaam

Mbona hiyo bei ni ya mpya dukani! Ni Black! Nadhani itakuwa Space Gray
 
Hiyo Bei yake inatosha kabisa kupata kijieneo kwaajili ya vyumba vitatu na sebule maeneo flani ya Dar!
 
Kuna jamaa instagram anauza iPhone 6 plus 16gb kwa 1,530,000tsh mpya kwenye box
 
Attachments

  • 1417425594346.jpg
    1417425594346.jpg
    59.5 KB · Views: 281
Ha ha ha swala hapa ni uwezo wa mtu husika kwa sababu hata hiyo hela unayoona wewe ni ya kiwanja kwa mwingine ni hela ya kula ya wiki moja tu!!
Rafiki yangu mmoja alimnunulia girlfriend wake SIMU hii kwa Tshs 2.1M just a week ago,kwa hiyo ni swala la kipato tu wadogo zangu!!!
Umeongea point mkuu ila tatizo umekuja mahala sio penyewe, wenye nazo hawaji kununua humu bali wao huzifuata madukani na kuzimenya kwenye mabox yake na ndo maana watu ukiwatajia hii bei wanawaza kiwanja cha kujenga unafikiri mwenye nazo anawaza kiwanja kwa hela hii!!
 
Kila kitu kipo box lake and all necessary accessories!
16 GB
Bei ni 1.7M mazungumzo yapo
Contact 0714843384
Napatikana Dar es salaam

Hiyo gharama ni sahihi kabisa sababu ijumaa nilimsindikiza mtu akanunua kwa dolla 1000 lakin ni state kwa hiyo kama kweli ni original utakuwa umewafanyia bei ya kiungwana sana.
 
Ni Original Mkuu bila shaka yeyote,mnunuzi awe huru kutumia njia yeyote kujiridhisha na Originality/authenticity yake!!!
 
Hiyo gharama ni sahihi kabisa sababu ijumaa nilimsindikiza mtu akanunua kwa dolla 1000 lakin ni state kwa hiyo kama kweli ni original utakuwa umewafanyia bei ya kiungwana sana.
500$ unazipata states
 
Mbona hiyo bei ni ya mpya dukani! Ni Black! Nadhani itakuwa Space Gray

I see,basi hilo litakuwa duka zuuuri sana LAKINI mm bei yangu ndiyo hiyo 👆mkuu,mtu anaweza kuuza hata kwa 500000/= The price is subject to many factors
 
Ha ha ha swala hapa ni uwezo wa mtu husika kwa sababu hata hiyo hela unayoona wewe ni ya kiwanja kwa mwingine ni hela ya kula ya wiki moja tu!!
Rafiki yangu mmoja alimnunulia girlfriend wake SIMU hii kwa Tshs 2.1M just a week ago,kwa hiyo ni swala la kipato tu wadogo zangu!!!

Teeeeh!! Wachaga wana nokia toch lakini wana miradi na ela ya kutosha .......simu sio mradi bhana zipo samsung galax s4 angalau laki 6.8 unapata tena ina sifa zaidi zaidi ya hiyo simu.....simu gharama kubwa bado na app zinauzwa gharama ndani hiyo hiyo simu.....watanzania amkeni tunaibiwa...kama mtu ulimuuzia 2.1 m kwa ajili ya demu basi ni yeye tu na escrow yake.......watanzania tuamke # magumashi tu#
 
Back
Top Bottom