TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,764
- 1,836
SMH 🤦♂️
Mtoa mada hujapata tu mda wa kutumia iPhone usitunange plz!!!
Mtoa mada hujapata tu mda wa kutumia iPhone usitunange plz!!!
Lakini nyumba siyo investmentKujenga nyumba ni investment inayotumia pesa nyingi, maisha mengine hayawezi kusimama kisa kujenga nyumba. kuna watu wanamiliki hadi ndinga za 30mil. na wanaishi nyumba za kupanga, kila mtu ana mipango yake
"Nyumba yangu nyingine"...!!.Nyumba ndo kila kitu, juzi nimepata M. 20 sehemu, yote nimemalizia Nyumba yangu nyingine, HP madalali washaanza kuniletea wapangaji wa Chumba efu 80 kwa mwezi, nna vyumba vitano vyote vya master full tiles,, maisha yanaenda naila kidogokidogo sent yangu,, japo nimeizika ela
Hiyo nyumba ndiyo inayoongelewa kuwa ni bora kujenga ya hivyo kabla haujamiliki hata simu?Nyumba ya 1M hiyoView attachment 1110382
Hata yeye hawezi kukuelewa kwanini humuelewi.Hata mimi simwelewagi mtu anayenunua gari wakati hana hata kiwanja Halaffu hapohapo anafanya kazi private company na hana biashara yoyote
Kila mtu na priorities zake, akikuomba ushauri mshauri.Sawa kila mtu na priorities zake but ukipewa nafasi ya kumshauri bora aanze na assets Kwanza otherwise kama anaanza na gari ambayo itamsaidia kuongeza kipato lakini sio kwaajili ya kuendea kazini
Jamii forum bana,ukute ulieandika hapa kuwashauri watu wasijenge,unakaa kwenye chumba cha baba yakoMaisha si kujenga nyumba, hiyo ni dhana mbofu mbofu ya waafrika - hapa duniani unaishi miaka isiyozidi 70 kama una bahati - sasa huo mjumbaa mkubwa unamjengea nani brasa??
Nyie ndiyo mnafanya maisha yenu yanakuwa magumu eti ooh najenga bwana oohh nanunua uwanja bwana - what???
Unakuta kijana ana ka mshahara ka 1m take home basi ni kujibana balaa, kula mama ntilie, kulala chumba cha 40k kwa mwezi - kisa anajenga....maisha haya unamjengea nani, fanya kazi tumia hela zako za mwezi maisha nayasonga - kama unachapa kazi hakuna mwajili atakufukuza na kama akikufukuza huwezi kosa kazi nyingine sababu upo sawa!!
Unakuka kijana eti anajenga nyumba kwa miaka 10+ muda wote huo anasaga lami mjini jua lake mvua yake - by the time anamaliza kujenga yupo 40+ akili hiyo?
Nyumba ndo kila kitu, juzi nimepata M. 20 sehemu, yote nimemalizia Nyumba yangu nyingine, HP madalali washaanza kuniletea wapangaji wa Chumba efu 80 kwa mwezi, nna vyumba vitano vyote vya master full tiles,, maisha yanaenda naila kidogokidogo sent yangu,, japo nimeizika ela
Sijawahi kumuelewa mtu mwenye iPhone ya 1M+ anakaa nyumba ya kupanga.
Kumbe bwana mdogo, wewe ni mfipa.Wee embu tukome 😀 😀
Nyumba bei ya iphone au s10 walai nimecheka mwanzo nikajua box la matofali hahaaaa, anyway kwa kuanzia si haba ilimradi unajikinga na mvuaNyumba ya 1M hiyoView attachment 1110382
Hyo ni nyumba kwa vigezo gani?Nyumba ya 1M hiyoView attachment 1110382
[emoji1787][emoji1787]Niache kununua simu nzuri kisa sijajenga? Heheheeee