Sawa mkuu ngoja niijaribu saivi nitaleta mrejeshoJaribu Simu isiwe imetengenezwa china iwe na IMEl yake Orignal itaweza kufunguka. Mimi nimeshaletewa Simu toka nchini Uingereza IPhone 6 nimeifunguwa kwa izo njia na mpaka leo ninaitumia haina wasiwasi kabisa.
Njoo inboxMsaada: Iphone 6 inaandika ''iphone is disabled connect to itunes''
Nifanyeje wadau
ok poa kama u8najuwa kiingereza unaweza kufanikiwa.Sawa mkuu ngoja niijaribu saivi nitaleta mrejesho
Patapo nishinda nitakuuliza mkuuok poa kama u8najuwa kiingereza unaweza kufanikiwa.
Wakubwa nlipokua na android nlikua na videooder ile
Nkawa nadownload video YouTube nazitupia kwenye laptop
Sasa nipo na iphone nifanyaje kuzipata zile za YouTube
Maan nkidownload za nje Na YouTube zinakua na low quality
Iphone ngap hyo?
Wakubwa nlipokua na android nlikua na videooder ile
Nkawa nadownload video YouTube nazitupia kwenye laptop
Sasa nipo na iphone nifanyaje kuzipata zile za YouTube
Maan nkidownload za nje Na YouTube zinakua na low quality
Tumia filepick uhakika
Daah hapo sasa ikitoka hyo itunes disabled itaomba ujaza account hyo icloud na password kama hizo huzijui sio simu tena hyo...hata ukii bypass iterud kawaida ila itakua haishiki mtandao ukiweka lain inaandka no service
Nina iphone 7 nilikuwa natumia lakini ilikuwa na icloud ya mtu mwingine. Kuna jamaa akafanya utaratibu wa ku bypass na nikawa natumia vizuri tu. Juzi ilipokea update ila baada ya kumaliza ikarudi kama mwanzo na ile ID ya mwenye simu. Sasa aliyefanya utaratibu wa ku bypass hayupo, ni nani mwingine anayeweza fanya hii kitu ya ku bypass anifanyie hii kazi???! Kama kuna mtu anaweza ku bypass tuwasiliane
Yote uliyoyaorodhesha siyo kweli. Jifunze kutumia I phone acha ujanja ujanja Mkuu.Baada yakurejea ios vitu pekee ninavi miss sana kwenye Android ni kuforce simu ishike 2g au 3g
Kwenye ios hata uselect nini simu itakamata penye signal kubwa
Ukiwa mbali kidogo tu na mnara iphone inasoma edge na hakuna namna unaweza fanya
Lakini kwenye Adroid ukiselect 3g only itakamata hata kama signal ipo chini
Kingine ni ku clear app data bila kui unstall app husika
Kwenye Android unaweza kuclear data ya za app bila shida
Kwenye ios kuna kui delete app na data zake au kudelete app na kuacha data zake
Telegram ina kama gb 10 na sijui nnitaclear vipi
Sms report nayo hakuna kwenye ios kujua kama muhusika amepokea sms yako
So inawezekana mimi ndio sijajua namna ya kufanya, mwenye uzoefu toa maoni yako
Iphone 8 mini, ios 14.3
nichek 0714305309
Yote uliyoyaorodhesha siyo kweli. Jifunze kutumia I phone acha ujanja ujanja Mkuu.
Mkuu inawezekena kweli?