hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,808
Hizi simu ziko secured sana ila cha kushangaza wajanja Israel pale wana bypass lock code wanaingia bila shida. Don't play with the Israelites [emoji1787][emoji23]iPhone inahitaji kuwa restored au kuwa updated.......
Hizi simu ziko secured sana ila cha kushangaza wajanja Israel pale wana bypass lock code wanaingia bila shida. Don't play with the Israelites [emoji1787][emoji23]
Msaada: Iphone 6 inaandika ''iphone is disabled connect to itunes''
Nifanyeje wadau
Msaada: Iphone 6 inaandika ''iphone is disabled connect to itunes''
Nifanyeje wadau
Yeaa finger print inakujaga moja tu ilyo kwenye simu basi replacement inafunction kama home button basiDah aise home button yangu ilizingua
Kumbe ukibadili finger print hazitafanya kazi tena
Yeaa finger print inakujaga moja tu ilyo kwenye simu basi replacement inafunction kama home button basi
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Ndo hvo ni iphone ngapi?Dah nmechukia sana
Yeaa finger print inakujaga moja tu ilyo kwenye simu basi replacement inafunction kama home button basi
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Msaada: Iphone 6 inaandika ''iphone is disabled connect to itunes''Dah nmechukia sana
Details zake unazijua...icloud na password?Msaada: Iphone 6 inaandika ''iphone is disabled connect to itunes''
Nifanyeje wadau
Hapana
Daah hapo sasa ikitoka hyo itunes disabled itaomba ujaza account hyo icloud na password kama hizo huzijui sio simu tena hyo...hata ukii bypass iterud kawaida ila itakua haishiki mtandao ukiweka lain inaandka no serviceHapana
Mkuu hamna njia yoyote ya kuifanya ishike mtandao?Daah hapo sasa ikitoka hyo itunes disabled itaomba ujaza account hyo icloud na password kama hizo huzijui sio simu tena hyo...hata ukii bypass iterud kawaida ila itakua haishiki mtandao ukiweka lain inaandka no service
Haipo ila ndo ipo kwenye utafiti ili kuifanya network ikamateMkuu hamna njia yoyote ya kuifanya ishike mtandao?
Unaweza weka picha?Aiseee Mimi Nina ipad shida yake ni kama inatoa shadow hivi(ghost),marangi rangi,kiasi hata picha huoni vizuri,nimejaribu reset factory wapi? Netflix siangalii kabisa,video zinatoka na rangi rangi tuuu,msaada [emoji120][emoji120][emoji120] please
Kwan mtumiaji alkua nan?Mkuu hamna njia yoyote ya kuifanya ishike mtandao?
Dah sawa mkuuHaipo ila ndo ipo kwenye utafiti ili kuifanya network ikamate
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Mke wangu
Ok nimekusoma,naweka 1min