Hilo haliwezekani kwani wanapogundua utatuzi wao wanazidisha privacy hahhaha
Ila wananiuzi na ule ushoga wao
Nahisi ulimwelewa vibaya.... Nilivyo mwelewa mkuu hapo juu.... " ila wananiuzi na huo ushoga wao...." alikuwa ana maaana icloud mkuu.....
Anamaanisha yule punga aka CEO
kumekuwa na post nying kuhusiana na iphone, uzi huu n maalumu kwa ajili ya mambo yote yahusuyo iphone na brand zote za aple. tupi maswal ama maujanja kuhusu @ios na mambo mengine
HADI MDA HUU HUTUJAPATA UFUMBUZI WA HAKIKA WA KUTOA I CLOUD EPUKA MATAPEL wataalamu karibun
Kuhusu icloud lock hakuna anayeweza kutoa mimi hapa niliibiwa simu yangu ngara kwa msaada wa icloud niliipatia nzega maeneo ya kitangili bila shida kabisa,na mimi siku watu watakapogundua namna ya kuitoa hiyo lock nitabadiri simu ninunue simu aina nyingine.
Antenna ndo tatizo hapo. Je hiyo simu mfuniko upo sawa?Mm nina 4s inanizingua netwek baLaaa@@nn ttzo mkuu
Hivi ni bora kununua iPhone bongo hapa hapa au kuagiza? Je vipi ubora wa iPhone 6 zinazopatikana kwenye iStore ya Mlimany City na kama kununua hapa TZ unashauri maduka gani yana iPhone au.vifaa vya apple vizuri.
Una setije i cloud?
Na siku nitakayosikia iDevices zimeanza kuchakachuriwa kirahisi nitawapa mkono wa bye bye Apple
Kwa wale wenye simu zinazopata iOS 9 halafu zilikuwa zinapata error wakati wa kudownload kwa sasa tatizo limeshatatulia unaweza kupakua iOS 9.0.1
hahaa aple bdo watawakazia sana wahun wanao taka kutoa i cloud ,huwa najiuliz hawa ma hacker hawajawai kukutana il wamaliz hl tatzo la i device na privacy zake? ama na wao wanatmia i phone.
UKi google kuna sehem wanaelezea ila ina ka ugum flan,pia hata aple kuna apps nying za bure rio zote n za kununuaKufungua apple account ni lazima uweke credit card ambayo imewezeshwa kununua vitu kwenye mtandao.
kuna mda nlijaribu kuweka credit card ikawa inagoma na kulikuwa na hela ikabd ni tafte jnsi ya kuifungua bila credit card, kuna jamaa alinisaidia ila sijui alifanyaj
Kwahiyo ni lazima ufanye hivyo la sivyo account yako haiwezi kuwa complete.
UKi google kuna sehem wanaelezea ila ina ka ugum flan,pia hata aple kuna apps nying za bure rio zote n za kununua
Inaeza kuwa imefkia time imechoka .ama n ya zaman kdogo, mim ilinisubua kweny netwk sana kuna time ilikuwa inakuja alaf inakata.sikufanikiwa kulitatua ilinibp kuipg bei.