iPhone iPhone,nimekwama wakuu

iPhone iPhone,nimekwama wakuu

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
29
wakuu natumia iPhone 3G,nimekwama kabisa,kioo kime-stuck,nashindwa kufanya chochote,naomba munisaidie wajameni.....!!!!!nawasilisha.......
 
wakuu natumia iPhone 3G,nimekwama kabisa,kioo kime-stuck,nashindwa kufanya chochote,naomba munisaidie wajameni.....!!!!!nawasilisha.......

Kaka piga simu nikupe msaada wa hilo naamini si tatizo kubwa au niandikie private message na maelezo kamili then I will help you .
 
mkuu tafadhali nitumie namba yako
 
bonnyeza botton ya home na ya kuwashia sim yako kwa pamoja kwa dakika kadhaa mpaka screez iwe black then washa iphone yako tatizo kushney..... Ndivyo nifanyavyo mimi....

Rudisha jibu kama utakuwa umesaidika...
 
Loh....nashukuru sana mkuu,moyo ulinipaa wacha,nashukuru nimefanikiwa.Ubarikiwe
 
wakuu nina shida na hizi tabs,ipi ni jjema??mawazoni ipo samsung galaxy 7.7,je mwenye ufahamu anifahamishe naomba
ahsanteni
 
Back
Top Bottom