Iphone inakataa kuingiza finger print

Iphone inakataa kuingiza finger print

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,054
Reaction score
3,263
Haina tatizo lolote ,home button inafanya kazi vyema ni mpya ,nilireset settings na baadae nimekuja kuweka finger print inascan kisha ikamalizia kufeed kidole mwishoni kabisa inagoma kimstari kimoja ..nimejaribu kurestart kuzima na kuwasha ila tatizo liko pale pale..msaada please ..inakera
 
Reset tena alafu ujaribu tena, tatizo lisiporekebika, jipange uhamie IPhone X ili uwe unatumia Face ID badala ya Touch ID
 
Haina tatizo lolote ,home button inafanya kazi vyema ni mpya ,nilireset settings na baadae nimekuja kuweka finger print inascan kisha ikamalizia kufeed kidole mwishoni kabisa inagoma kimstari kimoja ..nimejaribu kurestart kuzima na kuwasha ila tatizo liko pale pale..msaada please ..inakera
Mnayapendea nini hayo maIphone kila siku yanawasumbua.

Hamieni samsung
 
hizi simu zina matatizo kibao!

mimi nataka nirudi zangu kwenye android tu!
 
Back
Top Bottom