Iphone/ Earning real cash/ Gaming

Delacruzito

Member
Aug 5, 2019
99
92
Wataalamu habari zenu, i hope mko poa, Heri ya mwaka mpya wote.

Eti ndugu zangu naomba kuuliza kwa wale watumiaji wa iphone eti ni kweli iphone kuna games ambazo ukicheza una earn real cash?

Mimi mbona kama sina imani! Na kama ni kweli ningeomba proof yoyote kwa yule anaetumia iphone na pia basi tupeane maujanja ndugu zangu na hizo games ni zipi ambazo ni legit na scammers.

Ahsanteni sana!
 
Back
Top Bottom