Iphone 7 balaa

Iphone 7 balaa

That is not the question, sijauliza kama wewe ni fan wa removable battery au SD card.

Umejibu swali ambalo hujaulizwa, lililoulizwa hujajibu.

And what was your question?
 
mtarushiana maneno kisa apple, mara sd haitoshi. kikubwa tafuta ambayo inatosha kwa vitabu vyako sio utangze kila 1 ajue
 
na ndo maana wakasema simu hawajadili laptops or tablets hayo mengne utajua mwenyewe utavitunzia wapi hvy vitabu
 
mtarushiana maneno kisa apple, mara sd haitoshi. kikubwa tafuta ambayo inatosha kwa vitabu vyako sio utangze kila 1 ajue

Kama unatafuta ambayo inatosha kwa vitabu vyako unakuja JF kufanya nini?
 
na ndo maana wakasema simu hawajadili laptops or tablets hayo mengne utajua mwenyewe utavitunzia wapi hvy vitabu

Unajipinga, mara unasema nitafute inayofaa kwa vitabu vyangu, nikisema inayofaa kwa vitabu vyangu ni ile inayo support sd card unaniambia hawajadili laptops wala tablets.

Hujui kama unakwenda au unarudi.

Unajifunga kwa sheria yako mwenyewe.
 
Kama unataka more space jiunge na google drive, Dropbox au one drive na uhifadhi vitu vyako huko
 
Hivi wakuu kwenye iphone yenye ios 9.2 ni wap unabonyeza ili ilete program ulzoztumia mda huo kama kwenye android kenye android ukishkilia home button kwa mda inavyoleta program opened recentlty kwa chini ram used per ram remained
kwa mfano kwenye android huwa hivi
image.jpeg
 
Last edited:
....failure to understand!
iphone 7 ina kipi cha mno!
tujuzeni?ambacho labda katika simu nyingine Sitakipata? speed?Storage?
pls bringiton!!
 
Hivi wakuu kwenye iphone yenye ios 9.2 ni wap unabonyeza ili ilete program ulzoztumia mda huo kama kwenye android kenye android ukishkilia home button kwa mda inavyoleta program opened recentlty kwa chini ram used per ram remained
kwa mfano kwenye android huwa hivi
View attachment 314289

Double Home button itakupa page zote ulizofungua kwa muda wa siku saba.
 
Hizi iphone sizielew tu hasa kwenye suala la kudownload music na video
 
Double Home button itakupa page zote ulizofungua kwa muda wa siku saba.
thanks mkuu mpaka nimeshangaa nimekuta task nyingi kinoma kwel apple wako vizuri nimekuta kama ishirin hv android hapo ingeshastack mapemaaa

god bless u mkuu
 
Hizi iphone sizielew tu hasa kwenye suala la kudownload music na video
kwenye suala la kudownload video ndo hua pagumu kdogo ila kwenye swala la music natumia UC BROWSER natafuta music yoyot nayotaka then nakua kama nadownload itaanza kuuplay wimbo direct then kwa mfano ukishamalza kuplay naclick menu ya uc browser then then utaona my music ingia hapo then chagua history utakuta nyimbo zako zote ambazo ulshawah kuzplay ilmrad tu kama kpnd unauplay wimbo uliuacha uload full bas utaeeza kuuplay anytime
hapo bila hata internet utakua unakula music tu kwa videos mwenye tricks zake wakuu
 
Nilikua nazipenda sana Samsung lakini kwa zilichonifanyia sina hamu nazo tena.
Sasa hivi nitahamia kwenye HTC na iPhone.....maana hakuna namna tena.
Too general that means SAMSUNG ZOTE NI MBAYA?hamia nilipo mie ukiweza ona hizi emoji utajua niko wapi.....
 
thanks mkuu mpaka nimeshangaa nimekuta task nyingi kinoma kwel apple wako vizuri nimekuta kama ishirin hv android hapo ingeshastack mapemaaa

god bless u mkuu
Una uhakika na unachokiongea au unatimiza wajibu , android ipi uliyotumia ikawa inafanya hivyo....au ndio Yale Yale hata task ya simu yako hujui inapatikanaje.
 
Back
Top Bottom