Mrukus
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 396
- 192
128 GB vitabu vyangu tu haitoshi, hapo bado mziki, picha na apps.
The idea is to be able to change the card.
hahahaha

Ndio maana wakaleta ipad, iPod,mac
Unaweza kuweka sd card?
Sina mambo mengi ya kujaza simu,hata 16 GB zinanitosha sana.
Samsung zimenitoka sana,nilikua natumia original kutoka nchi yangu kipenzi South Korea ila sitaki hata kuiona!
Nilikua nazipenda sana Samsung lakini kwa zilichonifanyia sina hamu nazo tena.
Sasa hivi nitahamia kwenye HTC na iPhone.....maana hakuna namna tena.
128 GB vitabu vyangu tu haitoshi, hapo bado mziki, picha na apps.
The idea is to be able to change the card.
Jamani ni lini itakuja hii simu nasikia ni hatari vibaya kuliko hata hawa sumsung
So samsung yako ina support zaidi ya 128 GB memory card?
Kiranga
Ukiwa na iphone 6 ya gb 128 kuna haja ya memory card?
Ya nini kuongeza uzito wa simu, hzo 128 tosha kbs
Ina support 128 GB card on top of the in built memory. And I can switch different 128GB cards. Something you can't do with an iPhone.
Nilikua nazipenda sana Samsung lakini kwa zilichonifanyia sina hamu nazo tena.
Sasa hivi nitahamia kwenye HTC na iPhone.....maana hakuna namna tena.
I am not a fan of removable battery or SD card slot.
Iphone has enough space for me.
Siku si nyingi kutakuwa na team samsung,team iphone,team htc......
Pole zimekufanyaje?