Iphone 7 balaa

Iphone 7 balaa

ngoja tuisubiri sisi wa 3rd world countries
 
CHIEF MKWAWA
Hii simu naisubili sana nasikia ni hatari sana je sumsung wataweza kushindana kibiashahara baada ya hawa iphone kutoa hii simu

Haijajulikana itakuwaje, iphone 6s ndio imetoka juzi tu hivyo ni mapema sana kusema lolote
 
Last edited by a moderator:
Nilikua nazipenda sana Samsung lakini kwa zilichonifanyia sina hamu nazo tena.
Sasa hivi nitahamia kwenye HTC na iPhone.....maana hakuna namna tena.
 
Yaani kitu cha Sept 2016 ndiyo kinajadiriwa leo!
 
Nilikua nazipenda sana Samsung lakini kwa zilichonifanyia sina hamu nazo tena.
Sasa hivi nitahamia kwenye HTC na iPhone.....maana hakuna namna tena.

Karibu iphone
Hata mi nilihama samsung ni wehu
 
Jamani ni lini itakuja hii simu nasikia ni hatari vibaya kuliko hata hawa sumsung

Hizo ni concepts tu zinatengenezwa na watu wa kawaida.
Apple hawajaanzakuship Iphone 6S kwa customers wake bado.
 
Nilikua nazipenda sana Samsung lakini kwa zilichonifanyia sina hamu nazo tena.
Sasa hivi nitahamia kwenye HTC na iPhone.....maana hakuna namna tena.

Kitu gani walikufanyia Nifal
 
Last edited by a moderator:
Nilikua nazipenda sana Samsung lakini kwa zilichonifanyia sina hamu nazo tena.
Sasa hivi nitahamia kwenye HTC na iPhone.....maana hakuna namna tena.

Unaweza kuweka sd card?
 
Jamani hata na mimi pia nihame samsung maana nimekaa nao sana
 
Back
Top Bottom