Iphone 6s Plus 64GB, niiuze bei gani?

cDNA

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
353
500
Habari zenu wakuu mlio ktk uhalisia wa maisha ya Bongo...
Ninatarajia kuiuza simu tajwa hapo juu ila naomba mnijuze niiuze kwa bei gani kutokana na hali halisi halisia ya uchumi wa Bongo.
IMG_20161223_080811.jpg
IMG_20161223_080924.jpg
IMG_20161223_081014.jpg
IMG_20161223_081132.jpg

Chaja ina kasoro kidogo sehemu ya juu ambayo haiathiri ufanisi wake ktk kuchaji.
 
cDNA

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
353
500
Mkuu, hutoithamini nikikupatia bure...Wanadamu tumeumbwa kuthamini vitu tulivyovipata kwa kugharimika. Mtu aweza ithamini Nokia Jeneza mbele ya kifaa hicho tajwa kwa kuwa tu aligharimika ktk kuipata hiyo Nokia jeneza.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,576
2,000

cDNA

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
353
500
Umeinunua shilingi ngapi? Umeitumia muda gani?
Huku nilipo inauzwa 7,990 SEK (1 SEK = 235Tsh) so ikiwa mpya ni kama 1,877,000. Ila mi niliinunua used (ilikuwa imetumika kwa mwaka mmoja) na toka nilipoinunua haina miezi 6. But now ninayo simu nyingine...so kukaa na simu mbili kubwa naona usumbufu.
 
Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,589
2,000
Uza laki 6 au 8..... Ukiingia Kupatana unaweza kupata majibu uuze kias gan ila naona wengi wanauza laki 6 hadi 8
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,576
2,000
Huku nilipo inauzwa 7,990 SEK (1 SEK = 235Tsh) so ikiwa mpya ni kama 1,877,000. Ila mi niliinunua used (ilikuwa imetumika kwa mwaka mmoja) na toka nilipoinunua haina miezi 6. But now ninayo simu nyingine...so kukaa na simu mbili kubwa naona usumbufu.
Hapo uza laki sita mpaka tisa.

Ila consider kua wewe huna haja nayo kwa sasa halafu airport Tz wameanza kuchukua ushuru hata kwa vitu kama hivyo.
 
cDNA

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
353
500
Hapo uza laki sita mpaka tisa.

Ila consider kua wewe huna haja nayo kwa sasa halafu airport Tz wameanza kuchukua ushuru hata kwa vitu kama hivyo.
Mkuu acha utani bwana...yaani mtu ana simu zake binafsi ambazo zipo mfukoni mwa suruali yake halafu zifanywe kuwa chanzo cha mapata ya nchi!
 
Mibas

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
3,980
2,000
Huku nilipo inauzwa 7,990 SEK (1 SEK = 235Tsh) so ikiwa mpya ni kama 1,877,000. Ila mi niliinunua used (ilikuwa imetumika kwa mwaka mmoja) na toka nilipoinunua haina miezi 6. But now ninayo simu nyingine...so kukaa na simu mbili kubwa naona usumbufu.
Wewe uko wapi kwa sasa?
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,576
2,000
Mkuu acha utani bwana...yaani mtu ana simu zake binafsi ambazo zipo mfukoni mwa suruali yake halafu zifanywe kuwa chanzo cha mapata ya nchi!
Kwa hapo utakua umesave ikikutwa kwenye box huku umeweka kwenye sanduku wana wewe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom