Iphone 6s Plus 64GB, niiuze bei gani?

Kwa hapo utakua umesave ikikutwa kwenye box huku umeweka kwenye sanduku wana wewe
Okay...shukrani kwa tahadhari. Nina simu nyingine ambayo niliinunua mpya na nimetunza box na risiti itabidi boxi lake nilichanechane na risiti niifiche katikati ya vitabu!
 
Kuna mtu ataondoka huko tareh 4/1/17 vipi nimwambie akupe $200?
Kwa hiyo pesa nakushauri ujaribu hapo hapo Bongo maana hata simu mpya bei zake zipo chini ukilinganisha na bei za huku europe.
 
Okay...shukrani kwa tahadhari. Nina simu nyingine ambayo niliinunua mpya na nimetunza box na risiti itabidi boxi lake nilichanechane na risiti niifiche katikati ya vitabu!
aisee wamemwaga mboga umeamua kumwaga ugali.
 
Back
Top Bottom