Iphone 6+ downlod music,video

hahahaha hiyo post no 7 na post no 8 ndio nimeleza nadownlod movies kwa kutumia itune co nieke wazi halafu na ww ukazisome vizuri uckurupuke

mm cjaona neno itune kwenye post yangu
 
Haina ugumu wowote labda kama unaitumia huku ukiwaza android wakati ios haiwezi kuwa android.
Ni sawa uwe na mpenzi mpya huku ukitaka awe na tabia kama za mpenzi wako wa zamani wakati ni watu wawili tofauti...

Hivi tofauti ya hizi platforms ziko wapi iOS na Android? Mimi naona marueue tu haya mambo yanapoongelewa.

Mnisaidie kuyaelewa kwa lugha nyepesi tafadhali
 
Ios ni closed source na android open source.
Android available kwa any manufcturer wa simu anaweza kui customize anavyotaka wakati ios ni ya apple tu hakuna mwingine anayeitumia
ios ina limitations nyingi kwa user ni ngumu sana ku access system files tofauti na android ndiyo maana simu yabandroid unaweza igeuza geuza unavyotaka.
watu wanasema iphone huwezi download sijui videos na music, lengo la kufanya hivyo ni kuzuia piracy ndiyo maana anataka u download vitu toka reliable sources japo unaweza weka app ukadownload lakin utaziplay kwenye hizo apps huwezi kuzikut kwenye inbuilt music player au video player.
 
nunua kitu unachoweza kukikontro cyo kikukontro
 
Mtu ananunua kitu bila kujua anataka nini mwisho wa siku anaanza lalamika mbona iphone haifanyi hivi wakati android inafanya.
Hiyo ni ios mazee sio android
Heee hivi team IOS MNA NINI mimi nahisi hizi kampuni kubwa zenye Os zao binafsi wana siri flani maan hata mm ukiniambia kuhama window nakua nachizi bora uniambie tu ongeza simu nyingine ya pili yenye Os tofauti
 
Ios ni closed source na android open source.
Android available kwa any manufcturer wa simu anaweza kui customize anavyotaka wakati ios ni ya apple tu hakuna mwingine anayeitumia
ios ina limitations nyingi kwa user ni ngumu sana ku access system files tofauti na android ndiyo maana simu yabandroid unaweza igeuza geuza unavyotaka.
watu wanasema iphone huwezi download sijui videos na music, lengo la kufanya hivyo ni kuzuia piracy ndiyo maana anataka u download vitu toka reliable sources japo unaweza weka app ukadownload lakin utaziplay kwenye hizo apps huwezi kuzikut kwenye inbuilt music player au video player.

Nashukuru mkuu nimefunguka mishipa ya fahamu. All along nilikuwa natumia android Ila kwa sasa nimeamua kuwa mbabe nipo ndani ya iOS.

Sema nahisi kama wananibana kiaina, mtu unakuta amenitumia nyimbo siwezi kuzisave kwenye simu kwa mfano. Hapo nakasirikaga mtoto wa kiume mimi.
 
Download tubidy app from Apple Store ni app ya YouTube videos una download na una save play list yako. That my best app so far for music on iOS.
 
mm kiupatende wangu na downlod kwa njia mbili (1) ducment.( 2) video cache na hii ndio nzuri uweza kuseve na ukaweka kwenye play list yako
 
IMG_1488058312.810067.jpg
 
hahahaha hiyo post no 7 na post no 8 ndio nimeleza nadownlod movies kwa kutumia itune co nieke wazi halafu na ww ukazisome vizuri uckurupuke

mm cjaona neno itune kwenye post yangu
Mods Post namba 7 na namba 8 anazozizungumzia ni ID tofauti, cc JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom