Yahya Asaa
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 244
- 28
Naomba msada wenu nimenunua iphone6+ ila mpaka ss nimeshindwa kudawnlod music wowote naomba msada wenu km kuna njia ya kudawnlod music au video nisaidiwe plz,
Naomba msada wenu nimenunua iphone6+ ila mpaka ss nimeshindwa kudawnlod music wowote naomba msada wenu km kuna njia ya kudawnlod music au video nisaidiwe plz,
duh kumbe upo? tumia itune, pia kuna app inaitwa free music kwenye app store inafanana na sound cloudNaomba msada wenu nimenunua iphone6+ ila mpaka ss nimeshindwa kudawnlod music wowote naomba msada wenu km kuna njia ya kudawnlod music au video nisaidiwe plz,
hamna bro ni bure tena ni rahic sana
sawa co mbaya ila mm nadownlod muvi,video music bure na wala clipii na hiyo njia tako ni refu sana
Swali lako linataka nini hasa!!!!.sawa co mbaya ila mm nadownlod muvi,video music bure na wala clipii na hiyo njia yako ni refu sana
nadhani alitaka tujue kuwa na yeye anamiliki iphone 6+Swali lako linataka nini hasa!!!!.
Kama unayo njia unayoitumia uliuliza ili iweje???