Mkuu acha masihara bana iphone 4 clone 1:1?
Iphone clone zote zinatumia Android kisha wanazuga na themes za iOs, ukiwa na hiyo clone ni sawa na mtu yeyote mwenye simu ya android
Ukizungumzia iPhone ujue unazungumzia iOs, sasa iphone isiyo na iOs itawezaje kuwa clone ya 1:1?