iPhone 5S vs. Galaxy S4: Which phone should you buy?

Muda sio mrefu nitakufuata kwenye Xperia.
naitaka M sijui inakimbiza bei gani....kama vipi niambie na maduka maarufu kwa kuuza hizi simu bongo.!!!

Mkuu jaribu kuwasiliana na huyu @ chief mkwawa kwa hapo bongo mimi kidogo niko mbali Xperia nzuri sana jaribu utakubali
 
...kwani tofauti ya bei ni kiasi gani mpaka "wabongo" tushindwe?
 
...kwani tofauti ya bei ni kiasi gani mpaka "wabongo" tushindwe?

Factor zote nilizotaja umeona ni bei tu mkuu?
Nina Iphone 4 na nina kitu cha S4 clone 1:1, ram 1gb kibongo napata fleva halisi ya S4 original kulingana na matumizi yangu na wabongo tulio wengi.Nakuhakikishia asilimia kubwa ya wabongo tunamiliki Galaxy clone. Zunguka uwezavyo kama utapata mbadala wa iphone?

Kumiliki iphone ni gharama kuliko Sumsung yenye matakataka ya apps za bure za kumwaga na zakununua zipo cracked kibao
Apple labda ukijailbrake kidogo unaweza kupunguza makali tofauti na Sumsung
 
Mbeya.... ila mara nyingi nafika dar kulingana na shughuli zangu.!!!

Mkuu, mi simu zangu huwa nanunuaga Posta. Na sijawahi kupatwa na tatizo lolote tangu ninunue simu Posta.
 
Android phones full stop!

Hata Mimi nilokuwa na mtazamo huo,lakini nilipoondoka kwenye galaxy s3 na kuhamia iPhone 5 sitaki tena kusokia neno android. Ni OS la ovyo sana, lisimu linakuwa kuubwa hata hata mkononi halikai.
 
Fanya utafiti kwanza kabla kuongoea mkuu! Kila dakika Dunia ya Leo mambo yanabadilika,nina iPhone 5 sija jailbreak lakini nimeinstall cracked apps kibao, kuna software 2 zinazotumika kwa nonjailbreken kuinstall cracked apps. http://www.iapphacks.com/jailbreaking-f13/how-to-install-apps-and-more-no-jailbreak-t17147.html na http://www.iapphacks.com/jailbreaki...ll-apps-for-non-jailbroken-devices-t8034.html.
Hizi ni software za kichina.
Kama hulijui Hilo muulize google.
 
ni kweli Bin, nimekuwa na iPhone 5 kwa muda mrefu pia na sijawahi kuijailbreak hata siku moja, naona inajitosheleza sana tena inakuwa na maximum performance. Huwa nawashangaa watu wanaosema kumiliki iPhone ni gharama wakati unaweza usispend hata senti moja kununua apps, kuna njia nyingi mbadala za kuzipata free of charge..
 

Mkuu ni watu wachache sana wenye iphone na wakajua unayojua wewe, wengi tunajua kuchomeka line na kuitumia kama ilivyo, na wenye nazo wapo wachache sio kama wenye sumsung

Sumsung kila mtu ni mtaalamu maana asipoikuta android kwenye sumsung ataikuta kwenye simu nyingine kibao hadi za wachina

Nimekuta na watu wengi hata kuweka tu mp3 kwenye iphone hadi anunue itune maana apple wameweka discouragement kibao kwenye device zao ili mtumiaji anunue badala ya kuingiza kwa njia zingine

Mimi ninacho kimeo changu 3gs ilinichukua muda kweli kuja kugundua kuwa naweza kupata apps zaidi ya kununua app store, sipati picha sista duu au washkaji wasiokuwa interested na tech kama anamuda wa kutafuta sijui atapata wapi cracked app zaidi ya kukimbilia apps store

Kwa sumsung hali ni tofauti kabisa,

Na ndio maana tz watu wengi sana wanaona bidhaa za apple ni kama anasa kuanzia simu pad na kopyuta zao
watu wamekomaa na windows na android tu, simple to get, easy to use, freedom
 
Na ndio hao wanaokuja na negative comments kuhusu Iphone, kumbe tatizo ni wao wenyewe. lakini kwa mtuyoyote ambae anauelewa na mfuatilaji wa mambo ya smartphone hawezi sifia android mbele ya iphone, vinginevyo hajui anachoongea.
 
humu kila mtu ana maoni yake. kuna wengine watakwambia wao na htc ni damu damu. kila mtu ana sababuzake kutokana na simu ambayo ameshatumia. simu moja ikikuzingua bas jua si simu zote zitazingua. nina iPhone 4s na galaxy 3, zote natumia na hakuna simu ambayo imewahi kunizingua. so hapo inategemea na mapenzi yako yako wapi, samsung galaxy 4 au iPhone 5
 
...huu uzi wa iPhone 5s vs Galaxy s4 ni "ki-bongobongo" au ki-global?...becoming stereotype?
 
HOW TO KNOW YOUR PHONE IS A CHINESE PHONE 1. It gets full after 3 minutes of charging 2. The phone has TV, Touch screen, Nail cutter, firelighter etc. 3. Text message can be written with a toothpick. 4. There are some spelling mistakes e.g NokLa, blackderry, i-porn, samswag etc. 5. When an aeroplane passes by; it records "one missed call". 6. When a big truck hoots; it records "charger connected". 7. When a Chinese man passes by you it says "one Bluetooth device found".
 
...5, 6 and 7 kiboko!
 
Iphone ndio mpango ila S4 jiandae kwa kuiweka kwenye jeans haitoshi ila naskia this year samsung wanatoa jeans zao kwa ajili ya kuwekea tablet na simu zao.
I'm apple Guru till i die.
#Road Hauling in iveco stralis 450HP
 
mtu anatumia/kununua simu au kifaa chochote kulingana na alivopanga kukitumia
 
Mkuu Iphone clones zipo sana tena kama iphone 4 ilikuwa na 1:1 clone ambayo ilikuwa bomba sana.Ukumbuke utengenezaji wa clones or replicas na wachina ulipata umaarufu zaidi baada ya kuanza kutengeneza Iphone 3 Clones.Na kuanzia hapo makampuni kibao kama CECT nk wamekuwa wakitengeneza iphone clones nzuri tu na zinauzwa hadi ulaya na marekani.
 

hakuna clone 1:1 za iphone sababu hawana ios ya kueka kwenye sim zao za kichina
 
naomba mniambie smartphone inayokaa na charge kwa muda mrefu. kuanzia masaa 72 kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…