Kiukweli simu zote ni kali
Kama unapenda simu za mbwembwe, toying nk basi Samsung s4 inakufaa sana
Kama unapenda simu classic basi iphone 5s inahusika
Kibongo bongo Samsung itapendwa na wengi sababu ni rahisi upatikanaji wake, u can get even s4 clone na ukapata ladha ya s4 halisi. Pia kuna cheap phones kibao zinatumia android ambazo ndio watu wengi wanakutana zao kila mara plus urahisi wake wa kupata apps free, simu ipo huru kuifanya utakavyo
Apple inachukiwa na wengi kibongobongo sababu ya bei zake na hakuna mbadala wake, pia apps zake nyingi zinataka manunuzi na wabongo wengi wavivu wa kujiunga na paypal, kifupi apple wapo kibiashara zaidi wamebana mambo kibao kwenye device zao kukulazimisha ununue au utumie itune
Ila kiukweli jamaa device ni classic
Ukiangalia utaona Sumsung spec zake ni kali zaidi lakini linapokuja swala la peformance ya simu, durability, smoothness perfection nk......Apple wanatisha bana