iPhone 5S vs. Galaxy S4: Which phone should you buy?

Mwl.RCT

Platinum Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
15,796
Reaction score
22,767

iPhone 5S vs. Galaxy S4: Dimensions, weight, and build quality

​

iPhone 5S vs. Galaxy S4: Hardware specs
​
Continue from source
Code:
[url=http://www.extremetech.com/mobile/166263-iphone-5s-vs-galaxy-s4-which-phone-should-you-buy]iPhone 5S vs. Galaxy S4: Which phone should you buy? | ExtremeTech[/url]
 


S4 full stop
 
iPhone 5S ofcourse,,

sikuhizi watu wanataka vitu reliable, performance at Max'', mambo ya kuStuckStuck, kuCrash applications, keyboard kuzingua, virus au simu kuzingua kwa namna yoyote ile hayatakiwi tena,, S4 ni nzuri kwa Specs lakini performance haitakaa kuikutia iPhone 5S kutokana na Samsung touchwiz inayotumia na pia android ambayo ni open source kila mtu anafanya yake. Nasema hivi kwasababu nishatumia Tablet moja ya Samsung ilikuwa na Specs kubwa sana, 1.4GHz Quad Core Processor, 2GB Ram lakini hiyo performnce niliyoExperiance haiendani na hizo specs mpaka niliamua kuibana. inafungua memory card ya 8GB inaLoad picture albums dakika moja nzima. Touchwiz inasumbua sometimes nataka kutuma post jamiiforums keyboard haipandi sehemu ya kuedit maandishi mpaka uizime then uwashe ijiRefresh ndio inarudi vizuri. nimetumia na iPhone 4S yenye 512MB na Dual core processor lakini kitu kipo makini vibaya mno. everything you do is fast, every touch is Soft. sasa imagine iPhone 5, ---> 5C, ----> alafu iPhone 5S yenyewe inayoendeshwa na A7 chipset, 64bit architecture!! i cant imagine!!
 

haha ni raha iliyoje?
 
haha ni raha iliyoje?


The iPhone is the most sophisticated, outlook-challenging piece of electronics to come along in years. It does so many things so well, and so pleasurably, that you tend to forgive its foibles...''
Steve Jobs''
 
Kuna wafuasi wa Apple ambao hata kiberiti kikipakwa rangi ukaambiwa ni iphone watakinunua ili mradi wasinunue simu nyingine, hivyo mkuu sishangai na hoja zako, NIlinunua Iphone 4s brand new nikaitumia si zaidi ya wiki nikaitia sandukuni nikarudi kwenye HTC yangu. Inawezekana hiyo S4 uliyokuwa nayo ilikuwa ya mchina make sijaona Galaxy inatumia muda mwingi kiasi hicho kufungua picha.
 

Depends on what you do with it.... I have GS4 I9505 and its now 2.5months and I haven't felt disappointed with it.
I used to have iphone 4s but the GS4 feels just great!
 

amesema memory card, hata uwe na pc yenye i7 still memory card ipo slow ni nature yake. flagship nyingi hazina mmc sababu hio
 

Itakuwa ulinunua tablet ya sumsung na sio samsung...S4 huwezi kukuta ina stuck hata siku moja kaka
Hio tab yako itakuwa CLONE
 
Kwa mtazamo wangu mimi na jinsi nilichojifunza katika simu hizo, Iphone ni simu bora kwa upande wangu. Kuanzia quality, kudumu, size yake ukiishika, display yake ya size ya retina na Os yake.
 
Itakuwa ulinunua tablet ya sumsung na sio samsung...S4 huwezi kukuta ina stuck hata siku moja kaka
Hio tab yako itakuwa CLONE

nenda youtube kaandike how to remove lag s4. utaona kasheshe kuna kila aina ya lag. touchwiz ndo skin mbaya zaidi ya android hapa home kuna s4 na s3 original na zinalag kama kawa sema labda wewe sio power user unatumia smartphone kama feature phone (kupiga simu +whatsapp na kuingia net mara chahce) uliza wanaozitumia smartphone watakwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…