Sangoma
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 344
- 165
Wakubwa habari za majukumu nawaombeni msaada juu ya hii iphone 5 ilikuwa iko sawa baada kuisha chaji kabisa imegoma kuwaka nikichaji inaonyesha inachaji zaidi ya siku 2 lakini bado iko asilimia ziro nimejaribu kuirestore kwa kutumia itune imekubali lakini tatizo bado liko vilevile kama picha chini inavyo eleza msaada plz