Iphone 3s je hii ni feki au orignal

Iphone 3s je hii ni feki au orignal

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Yupo bwana mmoja ana iphone 3s imeandikwa kwa nyuma designated by apple in califonia authorized in china swali langu ni je hii ni orginal au feki? Na je hii in operating system kama ndio je yatumia os gani?
 
mkuu ni iphone 3gs.

Kuna uwezekano ni ya kichina maana za kichina pia huandikwa hivyo, clone ya kichina ya iphone na iphone original ni vigumu kuzitofautisha kwa kuangalia muonekano wa nje tu.

Kama ni original os yake inaitwa ios

kama ni feki/mchina inatumia java (kama nokia s40).

Cha muhimu mkuu jaribu kuishika then navigate kwenye menu angalia ina app store? Kama ipo ingia je kuna app kweli?

Iphone kikawaida haiingii mafile ya java so angalia kwenye hio simu hamna folder la java ambalo lina vifile vidog dogo vya java?

Mara nyingi iphone za kichina kwenye browser wanaandika safari lakini ukiclick inafunguka uc-browser au browser yao ya kichina.

Cheki hayo mkuu.

Na kama ni ya kichina sio mbaya kama bei itakua chini ya laki 1 maana zinakua na storage kubwa (hadi 32gb) na pia zinaingia mafile ya java (240x489) so vitu kama opera mini havitasumbua
 
Back
Top Bottom