IPhone 13 camera hamna kitu

Mkuu weka picha ya iPhone yako sa saivi ingekua poa sana

Yangu hii hapa
View attachment 2114686
Mkuu kwani tumekuja kupima iPhone yangu na simu yako!? Unadai iPhone 13 na note 8 yako ndo kipimo ulichotumia weka picha za hizo simu zote watu waamue, isitoshe mi iPhone yangu ni 7 na ni old fashioned kwenye suala la camera siwezi hata kuja hapa nikasema nina simu yenye camera kali
 

smart & well informed person hasingeweza kuandika alichokiandika huyu ni kwamba either anainjoy ubishi au ndio mshamba kupindukia

iphone 13 ni simu ya kwanza yenye cinematic mode still bado unalinganisha na huo utumbo kuna vitu hadi vinatia hasira eti
 
Hakuna cha settings wala nini by default iphone inatakiwa itoe picha kali hazina pro mode, huyu mshamba kakutana na copy anakuja kupiga kelele huku. Yaani iphone 13 ni ya kuifananisha na note 8 kweli!!!!
Mnajitetea saana
 
Nadhani wengi hatuelewi picha nzuri ni ipi na ina features zipi, tulijadili hili halafu tuendelee.

Huku bongo kwetu kuna mambo sana, mtu anaenda photoshoot anapiga picha analetewa picha ngozi yake inewekwa rangi ya orange halafu anakenua meno kuwa picha zake ni nzuri!!!!
 
Cimematic mode haijaanzia kwenye iphone.... Hapa ndio iSheep mnafeli...

Usihisi kila kitu kipya anachokuja nacho iphone ye ndo wa kwanza.

Huawei wana Cinematic mode toka 2019. Tena Cinematic ya 4k.

Siyo hiyo Cinematic ya Iphone 13 ya 1080p maana wameona wakiweka ya 4k simu zao zinaoverheat.

Hapo sijataja simu zingine kibao.
 

sawa probably walianza nayo huawei ila i am sure haikuwa efficient kama hii ya iPhone maana ingekuwa vzr si wange brag about
 

Hapa umesema halafu mwingine anazidisha edit hadi haumtambui...unahis kuwa kama unamjua


Sana sana hawa celebrity wetu wa Tz wana huu ushamba huko Instagram
 
Eti hii ndio picha kali kwa wabongo. Ukishambabua mbongo hasa mdada, ukamuweka blue eyes na blonde characters eti ndio picha nzuri. Ujinga mwingi kuona Mobeto ni mweupe kuliko Nicki Minaj, ukimuona kwenye clip afadhali ndio real details zinakuwepo
 
Picha nzuri ina apect nyingi

1. Good Dynamic Range



2. Skin tone



3. Noise level



4. White balance


Naendelea
 
5. Object Isolation- siyo unakuta tena kuna part ya object imekuwa blurred.




Kuna vitu kama texture, night mode, exposure n.k.

vipo vingi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…