iSheep yoyote hawezi kunielewa.Ko unabishana na ukweli
Shangaa na wewehizi data mnatoa wapi??au mnakariri.
Leteni picha za hizo simu mbona wagumu kuelewaIla muanzisha uzi kweli kilaza serious iPhone 13 unaifananisha na note 8
s22 itoe hapo haipo league yoyote na hao wote wadogo zake.iSheep yoyote hawezi kunielewa.
Iphone 13 Pro Max anafunikwa kwenye Category ya Picha na simu kibao.
Google Pixel 6 Pro
Samsung S22 Ultra
Realme X70 Pro Plus
Xiaomi mi 11 Ultra
Niendelee?.....
Yeye atashine tu kwenye Video. Ila hao wanyama hapo juu wote wanamfunika kwenye picha.
Namaanisha Iphone 13 pro max anafunikwa hao wote including hata huyo s21s22 itoe hapo haipo league yoyote na hao wote wadogo zake.
weka s21
Mkuu hakuna iPhone yenye mega pexel zaidi ya 12.. Camera bora nado ni Google pexel na Samsung tu. Mm nafanya biaharaya simu nazielewa vzr.Hiyo note 8 ni utopolo hata kwa iphone x haifui dafuwacha utani wewe na iphone 13 ilo ni famba labda
s22 itoe hapo haipo league yoyote na hao wote wadogo zake.
weka s21
Sawa mkuu ila sio kwa note 8 simu ina ukuguMkuu hakuna iPhone yenye mega pexel zaidi ya 12.. Camera bora nado ni Google pexel na Samsung tu. Mm nafanya biaharaya simu nazielewa vzr.
Mkuu hakuna iPhone yenye mega pexel zaidi ya 12.. Camera bora nado ni Google pexel na Samsung tu. Mm nafanya biaharaya simu nazielewa vzr.
sasa hapa ulitaka kuzungumzia kipi??Tukisema camera bora hatuangalii picha tu si na videos pia, ndg yetu kikubwa tunaangalia consistency ya performance...call me isheep sawa ila huwez sema kuwa kitu fulan ni bora kwa kuzingatia criteria kadhaa na sio zote
sio kila android ina 108mp upupu,samsung anayo hii,na tunategemea kuweka kwenye iphone 15 maana zooming inaonekana ni jambo muhimu kuliko pale calfornia wanavyowaza.Pixels hizo si specs on paper mbona android wana hadi 108 Mp halafu hamna ajabu
ukungu unatokana na matunzo ya camera au simu yenyewe kwa ujumla.Sawa mkuu ila sio kwa note 8 simu ina ukugu
kama utachukua vigezo vya jumla video sio jukumu la awali la msingi katika camera ya simu.
Uvi unaangaliaga side by side comparison kwel wwiSheep yoyote hawezi kunielewa.
Iphone 13 Pro Max anafunikwa kwenye Category ya Picha na simu kibao.
Google Pixel 6 Pro
Samsung S22 Ultra
Realme X70 Pro Plus
Xiaomi mi 11 Ultra
Niendelee?.....
Yeye atashine tu kwenye Video. Ila hao wanyama hapo juu wote wanamfunika kwenye picha.
Acha wivu kaka, apo mpinzani pekee ni pixel ila hao wote ni bure, yani unaweka adi XiaomiiSheep yoyote hawezi kunielewa.
Iphone 13 Pro Max anafunikwa kwenye Category ya Picha na simu kibao.
Google Pixel 6 Pro
Samsung S22 Ultra
Realme X70 Pro Plus
Xiaomi mi 11 Ultra
Niendelee?.....
Yeye atashine tu kwenye Video. Ila hao wanyama hapo juu wote wanamfunika kwenye picha.
Acha zako, walioanza kutoa refresh rate kubwa kwa flagship ni oneplus 7 pro wwsio kila android ina 108mp upupu,samsung anayo hii,na tunategemea kuweka kwenye iphone 15 maana zooming inaonekana ni jambo muhimu kuliko pale calfornia wanavyowaza.
maana hata reflesh rate ilionekana haina maana mpaka apple waliposhtuka baada ya kuiona kwa samsung.