Iphone ni the best kwenye Camera upande wa video.@Champagnee, haya tuambie ISO, Aperture na Shutter Speed tunazipatia wapi katika iPhone camera? Adjustables ni AF lock & AE compensation pekee. Kamera za iPhones sio manual, usituingize chaka.
By the way, iPhone ina kamera bora zaidi ya Samsung kwa vipengele vingi (sio vyote). Kuna baadhi ya points, kama optical zoom, Samsung ni better kuliko iPhone.
Generally, iPhones are the best phones in camera. Binafsi nazikubali sana.
NB: Unapofananisha brands efficiency, zingatia models zinazoendana au kukaribiana kiuwezo, hiyo ndio fair comparison.
Hahahah Dah kuna mwangangu ana Google pixel 3.Mimi sio mtumiaji wa iphone kwa sasa, unashindwa kuelewa lengo la kukutumia ile picha, pale nimekuonesha tu iphone 13 anapambana na simu model ipi kwa samsung, kwa sasa nina google pixel ambapo ukisema tupambanishe na note 8 nitakubonda ipasavyo, pia nnazo picha nilizopiga kwa 12 pro max ambapo ukisema uzipambanishe na note 8 utaachwa pia, huwezi kufananisha simu yako mid range ya 2017 na flagship ya 2021
Inajitahidi japo nyasi zimeloose details kiasi fulani.Redmi 9A tu! [emoji23][emoji119]View attachment 2120913
Sio kwa dharau, ila ndugu yangu kwenye teknolojia upo nyuma sana, hata hujui kama kuna camera gimbal? Kuna ya simu pia Ambayo inashika simu moja, mbili ama hata 3 kwa pamoja. Ukiangalia hizo picha za mbwa hauoni kama zinatofautiana, kuna moja ina muonesha mbwa mwili full na nyengne inamuonesha mwisho mgongoni, pia hauoni background pale nyuma zipo tofauti, moja inaonesha gorofa kiurwfu zaid nyengne inaonesha nusu. Uko na ushamba flan hivi
Nyie sumsung kitu kingine hapo amna effect yoyoteView attachment 2120914
Angalia hiyo picha halaf uje tenaView attachment 2120921
We ndio bonge la mshamba hizi ni picha mbili tofauti kwa maelezo yako?? huoni ya chini wamei-crop miguuni. anyways Iphone 13pro inaweza isiwe sawa na note8 ila argument zako zinaonesha ulivyo na upofu kwa mahaba ya mitandaoni
Nilifikiria kununua note 8 ila nimesita sasa.Sio camera ya kulinganisha na Pixel 6. Siwezi kuiweka kwenye list ya camera nzuri
Angalia height kutoka roof na vichwa vya focal points zinafanana?Angalia hiyo picha halaf uje tenaView attachment 2120930
Huku usije sie tumekuwa nazo tangu zamani, nenda kwenye latests kama uwezo unaruhusuNilifikiria kununua note 8 ila nimesita sasa.
Dhumuni la hiyo picha ni kukuonesha Tu zile pcha nilizotuma huwa zinapigwaje, hapo nimekuonesha kifaa kinachotumika kuwekea hizo simu ili zitoe picha pamoja yenye pozi moja, wewe ulisema zile pcha zimeeditiwa kwa kuwa zote zina pozi moja. Nikutoe ushamba kidogo,Angalia height kutoka roof na vichwa vya focal points zinafanana?
Mkuu tufanye umeshindaDhumuni la hiyo picha ni kukuonesha Tu zile pcha nilizotuma huwa zinapigwaje, hapo nimekuonesha kifaa kinachotumika kuwekea hizo simu ili zitoe picha pamoja yenye pozi moja, wewe ulisema zile pcha zimeeditiwa kwa kuwa zote zina pozi moja. Nikutoe ushamba kidogo,
Yaani kwa hizi samsung yenye note na S series, kama uchumi upo chini labda ununue S10+ au laa note 9, chini ya hapo camera ukungu[emoji38]Nilifikiria kununua note 8 ila nimesita sasa.
Ila si kwa mashindano, Mimi nilikuwa nakuelewesha tu kwa yale ambayo nadhani ulikuwa unaonesha hujayajua, Kama nimekukwaza kiaina flan, NisamehMkuu tufanye umeshinda
Kama hii picha inasema kweli, heshima yake samsung.Kumpambanisha iphone 13 na samsung Note 8 ni katika kuikosea sana iphone, Macho matatu inaanzia kwenye iphone 11 pro max, we ulijuaje kama hiyo ni 13 pro? Iphone 13 pro anapambanishwa na hili toleo jipya la samsung S22 ultra ambapo kiaina flan kwenye camera samsung S22 kamfunika tunda. Hiyo note 8 haitoboi hata kwa iphone 8+.View attachment 2120873
Sijawahi igusa note 8, lakini i8 plus nimetumia. Iphone 8 plus ana camera nzur mno hasa ktk sehemu ambapo kuna mwanga tayari, lakini maeneo yanayohitaji flash, bado hajakaa sawa.Sikatai hiyo ni picha ya mtandaoni ila Zinawekwa simu zote mbili kwa pamoja na kupiga target kwa wakat mmoja. Ila hazijachezewa. Ila mtu mwenye akili timamu hawez fananisha tuna 13 na note 8, hapo unaonesha dalili zote za USHAMBA[emoji16]. Note 8 apambanishwe na iphone 7+ au 8+ ambapo nina uhakika Note 8 atapigwa za uso.
View attachment 2120921
We ndio bonge la mshamba hizi ni picha mbili tofauti kwa maelezo yako?? huoni ya chini wamei-crop miguuni. anyways Iphone 13pro inaweza isiwe sawa na note8 ila argument zako zinaonesha ulivyo na upofu kwa mahaba ya mitandaoni
Hapa ni nani na nani? Huyu wa kushoto ametisha.Angalia hiyo picha halaf uje tenaView attachment 2120930
Note 9 je au s10 plus?Huku usije sie tumekuwa nazo tangu zamani, nenda kwenye latests kama uwezo unaruhusu