iPhone 11... kuvunja rekodi?

Mkuu umetumia galaxy S10? Jee kwa alicholeta jana apple na kwa maoni yako Galaxy S10 plus vs iPhone 11 pro max yupi yupo better?

Kwa maoni yangu samsung ana well made phones nyingi tu in the market.
Well made android phones unamaanisha nini?

Samsung galaxy kwanini wasiwe na well made android phone?
 
But rumors zilikua hivyo na inawezekana kabisa walikua na mpango huo wakaacha! Hii shape tuloiona jana akina techradar waliileta tangu March na imekuja kweli.
Mwakani wanaweza wasilete vyote.

Nina uhakika watabadili aina ya kuchaji, apple hawataki kucopy, itakuwa wana design aina mpya ya charging na wanaifanyia majaribio ndio maana hujaiona wanaileta.
 
After 2yrs simu utaichoka na itakuwa imeshaanza kuwa slow ukicompare na current innovation in the market at that time.
It might need 4Gb ram, lets wait and see. Its not like others with 8Gb of rams and after 2 years you cant get an upgrade to the latest OS so you have to resort to underground soultions
 
Mkuu tuache utani... ktk design Samsung hana mpinzani!! Napenda sana apple ila hii design ya mwaka huu naungana na reviewers wengine kwamba haijanibariki. Better nibaki kwa XS max.

Wengine ktk simu ukiacha yote tunapenda designs.
Design nzuri zaidi according to u.

Thats it utofauti wa perception.
 
Ni kwa sababu pia wanaweka battery ndogo compare to android. But apple wanachip zenye perfomance kubwa kuliko za qualcomn( hapa tuwape ushindi tu mkwawa). Even in GPU They are far ahead of what qualcomn will offer this year
 
sasa kufananisha techno na iphone unakosea sana. Tecno hatengenezi flagship
Tecno mwakani anakuja na simu ina Camera 16 na ndogo zaidi itakua na MP 80.

Nimeangalia Apple hawajaja na kitu chochote cha maana kabisa lakini utashangaa simu inauzwa Milion 5.
 
Mkuu tecno wanatumia soc zenye uwezo mdogo sana ili waweze kupata faida kubwa kwenye simu zao na wanadanganya watu kwa kuweka battery kubwa na kamera zenye mp kubwa lakin poor quality lens
 
Hv hawa BOE technolgy yao ni ya ujanja ujanja?..nlidhani wame come up na Something special kucompete na Samsung kwny dipslay productions
Boe Ni mwizi tu Samsung akishawakamata wanaovujisha Siri watasumbuka Sana. Hao ndio walio supply foldable display kwa Huawei kila Samsung akipostpone na wao Wana postpone.
 
Apple wamefanya kosa kwa kutosema ukweli kuwa wanapunguza perfomance speed kwenye new updates. Siamini kama alikuwa anafanya ivo ili kufanya watu wanunue toleo jipya. Maana kwa Apple tu, angeamua tu kama Samsung, baada ya 2 years hupati updates tena na watu wangeendelea kununua izo iphone.

Hoja yake Apple ina make sense, newer updates zinaathiri perfomance ya previous devices, ingawa mimi binafsi, hata sijanotice hio perfoamnce change (labda kwa sababu nimeacha matumizi mazito ya simu) lakini you cant deny it.

ingekuwa Apple wanataka ununue new device each year, trust me, wasingepunguza perfomance ya, wangeiacha tu ipige mzigo mpaka ikukere mwenyewe. Unafikiri ukiweka windows 10 kwenye computer la pentium 2 utatamani kukaa nayo?

Kuhusu Mpango wa Apple kuforce developers kutotengeza new updates for old devices, labda kuna ukweli nyuma ya pazia, lakini kama ilivyo Android, iOS pia ina another side of the story, kina Cydia na wenzao, lakini hata wao sasa ivi hawajishuhulishi na simu kama iphon 4. mimi ninachoona kuwa kinafanya haya kutokea, ni ile status ambayo imejengeka kwa watu na kwa madevelopers, kuwa Apple devices ni premium devices na wana expect users kuchange phones frequently. But i believe hii trend itakwisha na watakaokuwa safe ni wenye iphone X na kuendelea.
 
Ni kwa sababu pia wanaweka battery ndogo compare to android. But apple wanachip zenye perfomance kubwa kuliko za qualcomn( hapa tuwape ushindi tu mkwawa). Even in GPU They are far ahead of what qualcomn will offer this year
Mkuu sijazungumzia kuhusu perfomance ya chip Hapo.

Kwenye battery life zipo Android zenye battery ndogo mfano Xperia xz1 niliyoweka hapo Juu yenye 2700mah unaweza Nipa bidhaa yoyote ya Apple inayoweza kutop? Hint iPhone xr na 11 zote Zina battery kubwa zaidi ya 2700mah

 
Mkuu tecno wanatumia soc zenye uwezo mdogo sana ili waweze kupata faida kubwa kwenye simu zao na wanadanganya watu kwa kuweka battery kubwa na kamera zenye mp kubwa lakin poor quality lens
Sasa mfano kama hapo kwenye Camera, unaweza kuta mtu anakuja anaponda apple 2019 ana camera ina 12mp wakati tecno ana 21mp (mfano) ila ukitizama Quality unakuta ile ya 12mp ni nzuri kuliko ile ya 21mp.
 
Hyo update inasaidia ktu gan cha ziada wakat skuhz oes upgrade tena kama za apple ni small changes sana. Chamsing hardware changes. Mfano ios 13 kwenye iphone 6 ambaya haina force touch display huwei enjoy kama kwenye iphone 6s yenye force touch display.
 
Mkuu unachotakiwa kuelewa Apple anapata Faida kwenye service, simu yoyote ambayo haiwezi kurun hizo service kwake anaipiga panga bila kujali kwako Ina maana au haina.

Kuifanya hai simu Kama iPhone 4 angeruhusu tu zirun version za zamani za hizo apps, Kuna games na app kibao version za zamani hio iPhone ingerun Tena offline bila kuathiri chochote Ila sababu unatakiwa ununue simu mpya ndio maana simu Kama hio imebaki kopo.

Angalia os zote mkuu Symbian, meego, Android, Java phones, Hadi os ambazo Ni closed Kama windows phone bado zinatumika, na angalau unaweza fanya Mambo kadhaa na simu yako.
 
S10 inavyo vitu vya maana kutoka kwa s8plus. Mfano new and more atractive diplay design. Fast processor and camera improvement.
 
After 2yrs simu utaichoka na itakuwa imeshaanza kuwa slow ukicompare na current innovation in the market at that time.
Thamani ya kitu mkuu ni muhimu. Na naona Apple wanajua vyema kucheza na wateja wao. Mkuu simu ukinunua milioni 2 then after 2 years wanaacha kusupport sio powa kabisa. Si utataka kuiuza baada ya 2 years ununue latest one, so atleast upate kuuza kwa bei nzuri na yule unaemrithisha na yeye aendelee kuona hajapitwa na wakati.
 
Sasa hivi kwenye website ya apple iphone 8 ni $450 which is almost 1M ukiweka na kodi inakuja hadi 1.5M.

S8 bei ni 800K hadi 900K.

S9 bei ni 1M hadi 1.2M.

Zunguka kwa hawa wanaouza iphone na samsung uangalie utofauti wa bei.

Unabisha na hili?
kwan ni lini samsung amewahi izidi apple kwa bei??
 
Walipenda waweke kwenye simu zao sema waliitilafiana na qualcomn kwenye masuala ya modem qualcomn akagoma kumuuzia hzo modem ambazo ndo zina support 5G ikabid wanunue modem kwa intel ambazo hazina support ya 5G bado.hayo mengine ni maneno tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…