Acha ujinga, amesema watoto wenye mimba na siyo wote.Jamaa anaongozwa na BASHITE kwa hiyo anataka WATOTO WA KIKE wote wawe kama MTOTO WAKE BASHITE
Swissme
Hivi nini kilichokunogea haswaaaa!!?
Wewe naye acha chuki na viongozi wako, kama umekosa bahati basi lia na Mungu wako, sio kila kukicha we na bashite tu utadhani alikataa kukugegeda! We kwa Akili yako watoto wa kibongo uwaruhusu kusoma huku wanangonoka, unadhani darasa litatoa Elimu kweli? Na kama unawahurumia si ujenge shule binafsi kwa wazazi wote waliojazwa mimba shuleni! Sio kuharibu fedha za umma hapa!!Jamaa anaongozwa na BASHITE kwa hiyo anataka WATOTO WA KIKE wote wawe kama MTOTO WAKE BASHITE
Swissme