Je imehalalishwa lakini?
Kwani anavuta nini.........?
Anavuta majani ya chai. Mpare huyo!
Ndo maana unaonekana kwa kulenga...! Kwema lakini King'asti?
Au kawaha........wa mndeny huyu........
Kwani anavuta nini.........?
Swali zuri sana maana nilitegemea watu waulize nini anavuta. Wamechukulia dhana na kuifanya kuwa kweli bila ushahidi
Je imehalalishwa lakini?
kwa raha zake bi dada!!!!
Kwani anavuta nini.........?