Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Duh!mimi sijaelewa kabisa amefanya nini!Ubunifu wa hali ya juu.
Kwa kweli anastahili sifa za pekee!Kwa hii MziziMkavu big up
Kama ni picha duka nakubaliana na wewe!Jicho na sikio ni muonekano tokea mbele, pua na mdomo ni muonekano tokea kulia kwake but vimefanyiwa picha duka
Teh teh teh!upo sahihi mkuu!Wewe kwa dukaPicha hujambo lol :clap2:
Hapo sawa umempa heshima anayostahili!MziziMkavu noma!!!!! Shikamoo leo,Shikamoo kesho Shikamoo mwezi mzima
We acha yaani mimi sijaielewa kabisa!picha duka ina mambo
Lazima uchanganyikiwe mkuu kwa sababu ipicha hii imechakachuliwa sana!nimechanganyikiwa aiseee, kha!!!
Hakika yupo juu sana!Umetisha kaka
Kwa kweli imeenda shule!Ipo safi good ediction
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Huu ni mtaji mkubwa sana katika maisha ya binadamu!Ubunifu wa hali ya juu.