Baada ya kuona picha ya huu uzi yakanijia maneno uliyoyaandika na nikasema ntayaandika kuipa picha maneno....
Nashuka chini nakuta ushayaweka hapa, basi naomba kunukuu tuu...
Labda niongezee kidogo....
Kwa yuule kwa yuuleee......
Muembe wangu wa uani....