deogratius mbawala
New Member
- Aug 28, 2016
- 1
- 1
Mhh..hi I laana
Dunia hii sio fair kabisa, kuna watu wanapata paradiso mapema kabla hata masiha ajarudi.halafu unakuta binti kama huyu nae anapigwa vibao na jamaa. Shikamooni akina change, kuleni tu, mema ya nchi.
Hivi nani husemaga Wanawake wote ni sawa.